Kiranja Mkuu
JF-Expert Member
- Feb 18, 2010
- 4,534
- 5,342
Elimu yake inamruhusu kuongea hivyo. Polisi ni zero brain creatures.We jamaa nae, hkuna polisi muongeaji ongeaji mitandaoni hivi, hasa kuongea chuya chuya namna hii
Sent using Jamii Forums mobile app
Well said polisi ni MTU pekee anayeweza kumvunja mguu mama yake mzazi akiamini kuwa ametenda kwa busara. Amemtii boss wakeYuko sahihi, hakuna Polisi mwenye kujielewa aliyesoma akaelimika akakubali maagizo ya kuchukua kura fake na kuweka kwenye ballot box, huyu ni mpuuzi kama wapuuzi wanaokuwa wamemtuma tu.
Facts zipo nyingi sana zinazothibitisha kuwa Polisi hawana ajili, sio kweli kuwa kila order ni ya kutekeleza, only in Tanzania.
Isn't generalization?!!Well said polisi ni MTU pekee anayeweza kumvunja mguu mama yake mzazi akiamini kuwa ametenda kwa busara.
Wamelaaniwa
Kuna facts nilitaka niiseme hapa ila hawa Polisi failures watanisumbua, ila ujue Tanzania hatuna Polisi, kwahio IGP failure pia. Jeshi linaongozwa na failures ambao wanaweza kuwa manipulatedWell said polisi ni MTU pekee anayeweza kumvunja mguu mama yake mzazi akiamini kuwa ametenda kwa busara.
Wamelaaniwa
Mimi nadhani huyo mkuu na kiongozi wenu hajakosea Yuko sahihi kwa maana kuwa, utendaji kazi wa polisi wengi hutumia manguvu badala ya kutumia akili zaidi.Waziri Simbachamwene tuombe radhi ASAP
Kama Kingai, Mahita etcIsn't generalization?!!
Isn't fallacy?...T
Sio kweli, kuwa mkweli kwa nafsi yakoIsn't generalization?!!
Isn't fallacy?!!
Akitokea Polisi mmoja mjinga haina maana ni wote....ingekuwa hivyo jeshi hilo lingeshafutwa kikatiba.....
Chuki huviza moyo....Kuna Polisi wengi sana ni wema mno na weledi wa kazi zao haswa......
SIEMPRE JMT