Waziri Simbachamwene ametudhalilisha Polisi

Kumbe mapolisi asilimia kubwa ni wale waliofeli kimasomo ndio maana hata hawajui PGO ni ni mdudu gani
Watanzania tujiandaee na maumivi ya kupambana na vilaza walio bebeshwa silaha kihalali
 
Hivi jamani kweli huyu waziri kathubutu kutamka maneno hayo au wanamzingizia? Hivi kweli Polisi ambayo ndiyo wanaowafanyia investigation watuhumiwa mbali mbali kujua kama wana hatia kisha kupeleka mashauri yao mahakamani hawafanyi kazi ya ueledi?
 
Waziri kaongea ukweli tupu, kazi yenu haina tofauti na kampuni za ulinzi
 
Hivi jamani kweli huyu waziri kathubutu kutamka maneno hayo au wanamzingizia? Hivi kweli Polisi ambayo ndiyo wanaowafanyia investigation watuhumiwa mbali mbali kujua kama wana hatia kisha kupeleka mashauri yao mahakamani hawafanyi kazi ya ueledi?
Tunafanya kwa weledi ila hatutakiwi kuijua JPO na wengi tumeisikia kwenye sakata la Kingai, Mahita na magaidi
 
Hta

Hata ukiwa na degree tano kwenye upolisi unatakiwabujue kazi yako bado ni ulinzi tu hata iweje ipo siku utasimama kulinda watu.
Sisi tunalinda Mali, raia na usalama kwa ujumla
 
Haikuwa kauli nzuri. DG TISS, PCCB, etc kuna ongozwa na failure? Nadhani walipaswa kuweka vigezo vingine na si iwe kufeli. Ndiyo maana hata kwenye elimu za misingi na secondary failure ndiyo anafundisha na bright anafundisha chuo.
 
Hivi jamani kweli huyu waziri kathubutu kutamka maneno hayo au wanamzingizia? Hivi kweli Polisi ambayo ndiyo wanaowafanyia investigation watuhumiwa mbali mbali kujua kama wana hatia kisha kupeleka mashauri yao mahakamani hawafanyi kazi ya ueledi?
Mara nyingi polisi hulazimisha kushinda kesi kwa hisani ya jaji, turejee vifungo vya akina Sugu Mbeya na Akina Mbowe Dar ambao wote mwisho walisafishwa na mahakama kuwa hawakua na hatia ya kuhalalisha vifungo! Adhabu za namna hiyo ziko nyingi sana kwa wapinzani.
 
Kwa kuongezea ukiwa police timamu mwenye ufaulu huwezi kumkamata mtanzania kwa kosa la kufanya jogging. Waziri wenu yuko sahihi sana.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…