chikambabatu
JF-Expert Member
- Dec 29, 2015
- 1,382
- 1,349
Polisi ni kampuni ya ulinzi ya serikaliHivi jamani kweli huyu waziri kathubutu kutamka maneno hayo au wanamzingizia? Hivi kweli Polisi ambayo ndiyo wanaowafanyia investigation watuhumiwa mbali mbali kujua kama wana hatia kisha kupeleka mashauri yao mahakamani hawafanyi kazi ya ueledi?
CCP MoshiPolice mmoja juzi kapigwa na walinzi migambo Hadi kulia ivi mafunzo yenu huwa mnayatoa wapi
Ni mambo ya hovyo kabisaWaziri yupo sahihi, kwa jinsi wasivyo fuata sheria na haki za watu, waziri kasema kweli! Jiulize kuvukaje mpaka wa Nchi kufukuzia 30k, kesi kubabikiza, inawasaidia nini? Kukamata watu bila kufuata GPO, hadi kesi zinakuwa ngumu!
Sasa kama umeombwa vyeti na ulipata DIV I ya point 7, si uwaonyeshe kuthibitisha kuwa waziri ni kuongoKauli aliyoitoa jana kwamba jeshi la polisi halihitaji watu wenye ufaulu mkubwa kwasababu kazi ya polisi ni kucheza gwaride na kuilinda Benki ni ya udhalilishaji sana.
Mimi wiki kadhaa nyuma niliponea chupuchupu kufa kwa kipigo, baada ya wananchi kujua Mimi ni polisi.
Maumivu hayajaisha bado nakuja kutukanwa na waziri wangu.
Watoto wangu wanajua Mimi nilikuwa nakuwa wa kwanza darasani, na pia wanajua kuwa mtihani wa form 4 nilipata one ya point 7.
Kauli ya waziri imesababisha watoto wangu waniulize maswali magumu ikiwemo kuniomba vyeti vya taaluma ili wapime Kati yangu na waziri nani ni muongo.
Waziri Simbachamwene tuombe radhi ASAP
Huu ufafanuzi una mantiki ila labda mpangilio na maneno yaliyotumika lugha hayapendezi. Kwa kawaida ajira ya awali ya majeshi yote hufuata vigezo vya kuajiri kuruta anayelengwa ama kuja kuwa ofisa mwandamuzi au kuwa mpiganaji au mtendaji wa kawaida. Ajira hii ya pili ndiyo inakuwa na watu wengi katika majeshi yo yote liwe la Tanzania au nchi nyingine.We jamaa wee ni mwongo...[emoji1787]View attachment 1971613
Ukipata dharura utaenda polisi au utaenda kwenye kampuni ya ulinzi?Zinalinda na zenyewe mali na raia
Bro...hakuna sababu ya hasira,chukua kwa ufupi sana mfano huu[emoji116]Kauli aliyoitoa jana kwamba jeshi la polisi halihitaji watu wenye ufaulu mkubwa kwasababu kazi ya polisi ni kucheza gwaride na kuilinda Benki ni ya udhalilishaji sana.
Mimi wiki kadhaa nyuma niliponea chupuchupu kufa kwa kipigo, baada ya wananchi kujua Mimi ni polisi.
Maumivu hayajaisha bado nakuja kutukanwa na waziri wangu.
Watoto wangu wanajua Mimi nilikuwa nakuwa wa kwanza darasani, na pia wanajua kuwa mtihani wa form 4 nilipata one ya point 7.
Kauli ya waziri imesababisha watoto wangu waniulize maswali magumu ikiwemo kuniomba vyeti vya taaluma ili wapime Kati yangu na waziri nani ni muongo.
Waziri Simbachamwene tuombe radhi ASAP
Vyote sawaUkipata dharura utaenda polisi au utaenda kwenye kampuni ya ulinzi?
Uoga ndiyo umetufikisha hapa tulipoBro...hakuna sababu ya hasira,chukua kwa ufupi sana mfano huu[emoji116]
Mimi ni dereva wa mashirika wa kusome,nimefanya kazi na NGO's zaidi ya miaka zaidi ya 15
Nilipokua napata hasira za mshahara mdogo au kunekana mimk ni mtu wa chini sana wa kudharaulika nilipatwa na uchungu,nilipokumbuka kua nimejenga nyumba ya kuishi nilianza kukusaya pesa ya kununua gari dogo,na nikafanikiwa...kisha nikaacha kazi na kuingia mtaani kama taxi driver,maisha hayahitaji aibu wala uoga,ule mshahara wa shirika naupata,kinachokosekana ni ile tu kuonekana kwamba mimi ni dereva wa shirika kubwa,haisaidii..swala ni pesa,uhulu wa maisha yako na amani moyoni.
Hakuna boss amewahi kumheshimu wa chini,ni wachache sana.
Chukua maamuzi acha uoga
Kimsingi ni kazi ya laana tupuAkwilina alipigwa risasi na mtu ambaye hakutumia akili, wafuasi wa Chadema walikuwa upande mmoja wa barabara, katikati magari yanapita huku polisi waliofyatua risasi wakiwa upande mwingine wa barabara, bila kujali kuwa magari yanapita katikati wakafyatua risasi ambayo iliingia ndani ya daladala na kumuua Akwilina! Hata hivyo wakalazimisha kuwa siyo wao.
Cheti changu sikioni, nilipata one nikatolewa hadi gazetiniSasa kama umeombwa vyeti na ulipata DIV I ya point 7, si uwaonyeshe kuthibitisha kuwa waziri ni kuongo
Hawa ni failure kwenye kila kitu,wamekaa kubandikana kesi na kukandamiza haki za watu,hawa ni totally failure hawana weledi kabisaWaziri ndio mwongo na mfitinishi anataka watu waamini polisi ni taaluma ya failures
Nampongeza waziri na kumuunga mkono100%Waziri ndio mwongo na mfitinishi anataka watu waamini polisi ni taaluma ya failures
Mkuu mbona mimi naona kama aliwapandisha sana kusema mnalinda benk? Lakini ukweli ni kwamba polis kazi kubwa mnayoifanya ni kupambana na CHADEMA!Kauli aliyoitoa jana kwamba jeshi la polisi halihitaji watu wenye ufaulu mkubwa kwasababu kazi ya polisi ni kucheza gwaride na kuilinda Benki ni ya udhalilishaji sana.