bwege nazi
JF-Expert Member
- Sep 25, 2018
- 700
- 904
Jeshi kudharaulika kisa kuwaambia wenye vitambi wasikae site? Huoni kama kumkuta askari ana mtambi kama zigo la mwizi anaongoza magari hiyo ndio kulitia aibu jeshi! Kumbuka hawajafukuzwa kazi bali kasema kasema wasikae site. Askari na kitambi wapi na wapi? Kitambie mwenzie mwanasiasa.Hizi amri za wanasiasa ndio ufanya jeshi kudharaulika.
Kwani wao sio watu, kitambi ni ziada ya mafuta sababu ya ulaji mbovu.Jeshi kudharaulika kisa kuwaambia wenye vitambi wasikae site? Huoni kama kumkuta askari ana mtambi kama zigo la mwizi anaongoza magari hiyo ndio kulitia aibu jeshi! Kumbuka hawajafukuzwa kazi bali kasema kasema wasikae site. Askari na kitambi wapi na wapi? Kitambie mwenzie mwanasiasa.
Unachukua kinachomaanishaHilo neno wala siyo 'grammatical error'. Hapo ulipolitumia linabadili kabisa maana ya sentensi yako.
Wao ni watu lkn kulingana na kazi yao waliojichagulia hawapaswi kuwa na vitambi. Na kwanini uwe na ulaji mbovu wenye kusababisha mafuta ya ziada yasiyohitajika ikiwa wewe ni askari? Askari hapaswi kuwa na kitambii ataclow vipi vitani na mtambi ka zigo la mwizi?Kwani wao sio watu,kitambi ni ziada ya mafuta sababu ya ulaji mbovu.
Halafu hakuna kazi kama kupunguza kitambi, hasa kikiwa cha rushwa.Sheria haipo,
Ila kusema ukweli kitambi sio kitu cha kulea, kikizidi kitaanza kuingilia utendaji kazi wako.
We Mzee,Aliyosema Lissu yatatimia yote. Wakimaliza kwetu wanakuja kwenu. Serikali katili ikiendekezwa matokeo yake ndiyo haya!
Kuingiliaje utenda kazi mkuu au kuleta uzembe na usingizi kazini?Sheria haipo,
Ila kusema ukweli kitambi sio kitu cha kulea, kikizidi kitaanza kuingilia utendaji kazi wako.
Waafrika tuna asili ya unene...aache ujinga. Mimi nilipokuwa chini ya miaka 30 nilikuwa nawacheka sana watu wenye vitambi...nilikuwa nawaita manyama uzembe.
Ila sasa kitambi changu karibia kinagusa chini, GYM zote nimemaliza hadi yale madawa ya Forever Living yanaitwa C9.
Kama hayajakukuta shukuru Mungu!
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio,Halafu hakuna kazi kama kupunguza kitambi, hasa kikiwa cha rushwa.
Sent using Jamii Forums mobile app