Waziri Simbachawene: Huenda Mpina ana ajenda. Uongozi wa Rais Samia uko kwenye viwango kuliko wakati mwingine wowote

Siamini kama Mpina hayajui haya.
 
Mpina hana maisha... Akitaka kuumaliza ubunge wake vizuri ale penseni yake vizuri aachane na hii njia anayo itumia.. Huyu 6*6 inamhusu
 
Kiwango kipi.. hivi kuna mtumishi utamwambia atakuelewa? Kipindi kipi kinazidi ubora wa kile cha kikwete??

Huyu simbachawenw bogus sana. Yeye anasimamia utumishi. Watumishi bado wanachangamoto kibao.


  1. Nauli za bodaboda kwao
  2. Nyumba kodi kwao
  3. Bima za afya zinasuasua
  4. Hali ya maisha ngumu bei juu kwao
Mnajua mtekeleza ilani ni mtumishi? Mnalijua hilo? Kwann mnamfanya toilet paper?

Mh. Mzee kikwete sio mjinga alipandisha mishahara kila miaka 2. Cheo miaka 3. Eti leo mnamuwekea bureaucracy eti oprus, eti pepmiso, eti mfumo..mnamnyenga mtumishi mkijishibisha na posho.. nurse anaposho ipi? Mwalimu wa darasani ana posho ipi...askari polisi wakaida ana posho ipi.

Mchengerwa anaweza akawa kijana pekee mwenye haiba bora kuliko chuichamwene...maneno mengi bure
 
Siamini kama Mpina hayajui haya.
Kujua ubaya wa adui yako ni jambo la kwanza na kujilinda dhidi yake ni jambo la pili........

Inawezekana Mpina ameamua kujinyanyua kisiasa Incase akitimuliwa au akikataliwa kura za maoni ndani ya chama.......

Mtaji wa mwanasiasa ni wananchi na ili awe mtaji analazimika kuziteka akili za wananchi kutokana na upepo unaovuma kwa wakati huo........

Nina hakika Mpina anajua nini anakifanya
 
Kwanikuna binaadam asiyekufa yeyekafakamawatu watuwengine wachunguze nini mbonanyerere Kafa mkapakafawotetuunde tumehuoniupuuzitoo
 
Kupewa shahada ni sababu wanamuona ni ........
Wapi umeona Putin, Xi, Sunak, Trump, Obama, Merkel wanapewa shahada za bure?
Je nchi zao na zetu zipi bora?
Sisi tushaonekana wapumbavu
 
ccmu mmebakiwa na ukabila ndo mtaji wenu , hamuez jibu hoja za watu , Mambo aliyofanya Jpm hata ww unanufaika ila ukabila na ujinga unakusumbua , siku ukiviondoa hivyo ndo utahundua namna unafeli
Najuiliza tu kama jpm asingeamua kujenga hilo bwawa leo serikali ya huyu mama engekuwa na lipi la kumaliza mgao wa umeme au tungeingiza majenerata mengine kama yale ya Richmond.
 
Magufuli mwenyewe mwaka 2019 akiwa Mara na Luhaga Mpina alikiri kuwa amemchagua Luaga Mpina kuwa Waziri wa Uvuvi kwa vile ni kichaa kama yeye. Ukibisha nakuletea YouTube hapa
 
Tunawafahamu lakini tusiombe wafike huko. Huwa hawataki ukweli, kwao ukweli ni mwiko.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…