Iraq iliangamizwaKwa marekani huwezi kuwa General wa jeshi bila kuwa na Masters degree, in fact General David Patreaus aliyeikomboa Iraki kutoka kwenye vita ya wenyewe kwa wenyewei iliyokuwa imeanza kuibuka lakini akakumbwa na kashfa ya ngono ana Ph.D. yule kamanda. Askari wa marekani ni wasomi sana. Kuna mwanafunzi wangu mmoja aligraduate miaka kumi iliyopita akaniomba nimuandikiea barua ya reference kwenda graduate school, sasa hivi ni Brigadier General na kamanda wa special operations huko Arizona- hua tunawasiliana mara kwa mara kila anapohama au kupanda cheo hunitumia message.
............baada ya Patreaus kuondokaIraq iliangamizwa
Nguruwe ndio wanachukuliwa kuwa mapolisi, ndio maana ufahamu wao uko chini sanaHATIMAYE BOMU LIMEJILIPUA ......
Mama were[emoji125][emoji125][emoji125]
Maneno ya dharau sana haya...hata kama ni kweli hakupaswa kuongea hadharani.
Waziri kaongea ukweli mtupuAmekosea sana....kwa hiyo amepigia mstari kauli za watu kuwa jeshi la polisi ni kwa ajili ya watu wenye uwezo mdogo...poor him...
Amewadhalilisha sana polisi sijui kama analijua hili...
Poleni PT.
Yes Simbachawene amekosea kusema ukweli kwamba jeshi la polisi limejaza failures. Adhibitiwe maana huko ccm ni marufuku kusema ukweliHapo Simbachawene KAKOSEA BIG TIME.
Kamati ya Ulinzi na Usalama CCM na Taifa ilitolee hili tamko ufafanuzi.
Simbachawene inaelekeabado hana uweledi na kazi yake.
Na Sirro yumo? Kumbee!Waziri wa mambo ya ndani mh Simbachawene amesema jeshi la polisi haliajiri waliopata divisheni 1 kulingana na majukumu halisi ya askari watarajiwa.
Huwezi kuajiri divisheni one akalinde benki na kucheza gwaride amefafanua waziri.
Chanzo: ITV Dakika 45
Kwa habari kamili fuatilia kipindi
Suluhisho rudi darasani kafanye QT (kwiki transifomesheni).Ametudhalilisha mapolisi
Ukweli husemwa hadharani ukiusemea pembeni hugeuka kuwa umbea.Maneno ya dharau sana haya...hata kama ni kweli hakupaswa kuongea hadharani.
Hahhaa failure ndiyo wanafaa?Waziri wa mambo ya ndani mh Simbachawene amesema jeshi la polisi haliajiri waliopata divisheni 1 kulingana na majukumu halisi ya askari watarajiwa.
Huwezi kuajiri divisheni one akalinde benki na kucheza gwaride amefafanua waziri.
Chanzo: ITV Dakika 45
Kwa habari kamili fuatilia kipindi
Jeshi la polisi linatakiwa kufanyiwa Reform kubwa...kubadili mitaala ya kikoloni...na kuliunda upya....bahati mbaya hawa jamaa hawajali na polisi wenyewe ni wanyanyasaji sana...Viburi na jeuri..wachache ni waaungwana ila wengi ni shida.
Haipendi kazi yake huyu.Waziri wa mambo ya ndani mh Simbachawene amesema jeshi la polisi haliajiri waliopata divisheni 1 kulingana na majukumu halisi ya askari watarajiwa.
Huwezi kuajiri divisheni one akalinde benki na kucheza gwaride amefafanua waziri.
Chanzo: ITV Dakika 45
Kwa habari kamili fuatilia kipindi