Ngoja waje wagagagigikoko wajisemee kuwa sio vilazaHao huwa hawakai. Wanaondoka ondoka.
WAZIRI MWENYE DHAMANA KASEMA UKWELI KILE WANACHOFUATA KATIKA KUAJILI WEWE FROM NOWHERE UNASEMA NI MATUSI, KWELI ? UNAMAANISHA SIYO KWELI!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!!. AHAAAAAAAAAAAAAA NIMECHOKA KABISA WATU KUTOAMINI HALI HALISI
Mbona siku zote kwenye kesi ya Mbowe yalikuwa yakisemwa hayo na hakuna aliyekanusha, leo kasema waziri imekuwa nongwa!Kwa hiyo ili uwe polisi unatakiwa uwe mbumbumbu?
Ili ukiagizwa au kupewa maelekezo utekeleze bila kufikiri?
Au waziri wakati anaongea haya ndio alikuwa emerudi kutoka 'titanic'
Tatizo hao failures wanaumiza wasio na hatia, hawazijui sheria za nchi, wao kukamata na kumpiga mtuhumiwa wanaona sifa, hili waziri anatakiwa kuliangalia, sio lazima mpaka polisi awe na digrii ndio ajue mipaka ya majukumu yake.
Wanatakiwa kutoa elimu kwa hao vilaza wajue kumpiga mtuhumiwa akiwa mikononi mwao ni kosa kisheria, wanaweza kushtakiwa na wakikutwa na hatia watakwenda jela, tatizo wanatumia uoga wa watanzania kuwatendea unyama.
ha ha ha ha ha ha ha aisee nimecheka sana!!Kamanda Zerrrrroooo rijambazi rimekimbiria kure kwenye matofari,
Chacha chukua pozisheni hapa,
rajabu chukua Kona ire
Kamanda chare hakikisheni upande wenu huko harichomoki hiri rijizi umenipata ovaaaaaa!
Ovaaaaaa mura nimekupa vema dakika Tatu ni mashamburizi!
[emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji95][emoji379]
Ungekuwa na akili hata ya kutambua jema na baya,usingekuwa unaambatanisha "posts za facebook" kama kielelezo cha kusimamia hoja yako.
HakikaHATIMAYE BOMU LIMEJILIPUA ......
Mama were[emoji125][emoji125][emoji125]
Hatimaye tumempata rais wa divisheni fooo Yani ....HAKIKA
Poor simbachamweneWaziri wa mambo ya ndani mh Simbachawene amesema jeshi la polisi haliajiri waliopata divisheni 1 kulingana na majukumu halisi ya askari watarajiwa.
Huwezi kuajiri divisheni one akalinde benki na kucheza gwaride amefafanua waziri.
View attachment 1972043
Chanzo: ITV Dakika 45
Kwa habari kamili fuatilia kipindi