Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Kwa ujumla huu mfumo ni mzuri sana. Maana umeondoa ukiritimba wa maafisa utumishi kwa watumishi.
Tatitizo kubwa ni kuwa sasa hivi watumishi wa umma wanatakiwa kutumia mfumo wa Ess kwa kufanya kila jambo linalowahusu. Kuanzia uhamisho, likizo, na hata appraisal.
Lakini mpaka sasa huduma nyingi hazipatikani kwa ufasaha. Mfano watumishi wanaomba uhamisho lakini utasikia maombi hayaonekani.
Waziri mwenye dhamana ingilia kati. Maana sasa huduma za kiitumishi ni kupitia Ess.