Muuza Kangala
JF-Expert Member
- Jul 21, 2021
- 1,242
- 4,813
Tatizo sio mfumo bali tatizo nikwamba uhamisho imekua ni biashara mana kuna watu wamekamilisha kila kitu kabla ya mfumo wa electronic kuanza na niuhamisho tu wakubadilishana na wamefika mpk tamisemi kuulizia taarifa zao wakaambiwa majina yanachakatwa lkn mpk leo tokea mwez wa 10 2023 bado tu yanachakatwa sasa tujiulize km yale majina yawalioomba kabla ya mfumo wa electronic hayajamaliza kuchakatwa vp haya majina baada ya huu mfumo yatachakatwa lini? Chakushangaza wenye connection kila siku wanahama tunaomba wahalalishe basi tujue kuhama ni shilling ngapi? Ili watu wasiiibiwe huku mitaani.Kwa ujumla huu mfumo ni mzuri sana. Maana umeondoa ukiritimba wa maafisa utumishi kwa watumishi.
Tatitizo kubwa ni kuwa sasa hivi watumishi wa umma wanatakiwa kutumia mfumo wa Ess kwa kufanya kila jambo linalowahusu. Kuanzia uhamisho, likizo, na hata appraisal.
Lakini mpaka sasa huduma nyingi hazipatikani kwa ufasaha. Mfano watumishi wanaomba uhamisho lakini utasikia maombi hayaonekani.
Waziri mwenye dhamana ingilia kati. Maana sasa huduma za kiitumishi ni kupitia Ess.
Hiyo barua ya kutuma psrs hadi apitishiwe na mwajiri siyo rahisi,hakuna urahisi!Kaka kama wataka kuama kwa urahisi Fanya interview ajira portal,uko kwenye mfumo uwezi ama
Usinichekeshe uliza wenzio wa tangu mwaka jana,we unasema miezi mitatu,njoo inbov nikupe connectionHabari,naomba kujua Kama Kuna mtumishi aliefanikiwa kupata kibali cha uhamisho kupitia mfumo wa ess,ni miezi mitatu status inasoma TAMISEMI lakini hakuna kinachoendelea.tufahamishane tafadhali
Naona kuna kipengele wamekiongezea cha kuomba recate kupitia mfumo.Nilitaka kuhama kutoka sekta moja kwenda nyingine mfumo hauaccomodate
Mfano mwalimu kuwa mkufunzi au mdhibiti ubora inashindikana
Mfumo lazima uwe holistically and comprehensively and satisfactory
Waiting naomba nitext huko inbox sijui kwa kuingiliaUsinichekeshe uliza wenzio wa tangu mwaka jana,we unasema miezi mitatu,njoo inbov nikupe connection
Kakaa habri vp ulishafanikiwa kuchomokaWaiting naomba nitext huko inbox sijui kwa kuingilia
Nakuja nisaidie namiUsinichekeshe uliza wenzio wa tangu mwaka jana,we unasema miezi mitatu,njoo inbov nikupe connection