- Thread starter
- #21
Jikite kwenye mada ya ajali.Takwimu za nani au wapi zinaonesha Covid-19 inaongoza kwa vifo Tanzania?
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jikite kwenye mada ya ajali.Takwimu za nani au wapi zinaonesha Covid-19 inaongoza kwa vifo Tanzania?
Watu wanaosoma vyo huria ni watu w akuunga unga elimu sana. Huwa hata haziwabadilishi.Kimbilio la wanasiasa wa Tanzania kupata CV ambazo hawana
Kama vipi aletwe tu ka watanganyika wenyewe ndio hawa.Soon ataletwa Mzanzibar
mwambieni heche agombee ubunge akishinda apewe uwaziri wa mambo ya ndani wanga nyie mnatoa kafara mnataka waziri ajiuzuru?Habari za asubuhi wana Jamii Forume
Kwa maslahi ya taifa naona tujadili hili swala. Naona halizungumzwi mahali popote ukiachilia matatizo mengi tuliyonayo kama taifa kwa sasa.
Kumezuka tatizo la ajali za kila mahala takribani ajali 4-5 kwa siku zinaripotiwa kwenye mitandao ya kijamii zikihusisha vyombo vya usafiri wa abiria kama Mabasi yaendayo mikoani.
Pamoja na kuwa usafiri na usimamizi wake uko chini ya Wizara ya mambo ndani hatuoni hatua yoyote inayochukuliwa na Waziri mwenye dhamana Mh Simbachawene. Sio tu kuchukua hatua bali hata kulizungumzia tu yuko kimya.
Kwa maono yangu na jinsi navyoona ripoti hizi naweza kusema baada ya vifo vya corona Ajali tanzania inashika namba mbili.
Tusifanya siasa kwenye maisha ya watu. Mh Rais anakopa pesa kila siku zije nchini kusaidia watanzania sasa kama watanzania wanateketea kwa ajli kila siku huku wengi wakiachwa na ulemavu wa kudumu itakuwa haina maana.
Utendaji wa Mh Simbachaweni uko chini ya kiwango kuliko hata wa Kangi Lugola.
Huyo huyoPoti Kange??
Amejibu kisiasa. Anapenda siasa
Amejibu kisiasa. Anapenda siasa
Muungano uvunjweKama vipi aletwe tu ka watanganyika wenyewe ndio hawa.
Ni kweli usemacho lakini kuna watu wenye dhamana hiyo pia. Wewe uliweza sio kila abiria anaweza ndio maana kuna vyombo vya kusimamiaJukumu la kwanza la usalama ni wewe Abiria unatakiwa kulichukua .
Kuna wakati nilisafiri kutoka dodoma kuja Dar abiria mwema akapiga simu polisi chalinze kuwa dereva anaendesha Mwendo kasi pasipo tahadhari polisi wakasimamisha basi likaenda kituoni , abiria wote walimtetea dreva yule abiria akaonekana hana hoja basi likaruhusiwa.
Mimi mwenye nilimuamuru dereva aendeshe basi kwa tahadhari tukitokea Mwanza kuja Dar nikidai haki yangu ya kuendeshwa kwa kufuata sheria za barabarani baada ya dereva kutaka kutuangusha Ilibidi basi lisimame abiria wakamtetea dereva.
Ya Isamilo ni moja ua taarifa nyingi zinazotokea kila sikuInaumiza Sana , Kama mpaka maisha ya Watu tunayawekea siasa. Wanadamu tukumbuke kuwa hakuna kidumucho hapa duniani. Imeniumiza Sana comment yake kwa kuwa NIMETOKA kusoma taarifa ya ajali ya ISAMILO.
Acha siasa za majitaka kwenye mambo ya Msingimwambieni heche agombee ubunge akishinda apewe uwaziri wa mambo ya ndani wanga nyie mnatoa kafara mnataka waziri ajiuzuru?
Nimeitafakari hii comment....Napata wakat mgumu kujua ww ni boga kiasi gani!Kwani waziri ni dereva wa hayo magari yanayopata ajali?
Hiyo nayo yaweza kuwa fursa Kwa wengine ndio maana hali inaachwa Ili fursa iongezeke, huenda wapo wanawekeza mahosplitali pembezoni mean Barbara ili wapate wateja wakutosha, au kampuni za bima🚣.Habari za asubuhi wana Jamii Forume
Kwa maslahi ya taifa naona tujadili hili swala. Naona halizungumzwi mahali popote ukiachilia matatizo mengi tuliyonayo kama taifa kwa sasa.
Kumezuka tatizo la ajali za kila mahala takribani ajali 4-5 kwa siku zinaripotiwa kwenye mitandao ya kijamii zikihusisha vyombo vya usafiri wa abiria kama Mabasi yaendayo mikoani.
Pamoja na kuwa usafiri na usimamizi wake uko chini ya Wizara ya mambo ndani hatuoni hatua yoyote inayochukuliwa na Waziri mwenye dhamana Mh Simbachawene. Sio tu kuchukua hatua bali hata kulizungumzia tu yuko kimya.
Kwa maono yangu na jinsi navyoona ripoti hizi naweza kusema baada ya vifo vya corona Ajali tanzania inashika namba mbili.
Tusifanya siasa kwenye maisha ya watu. Mh Rais anakopa pesa kila siku zije nchini kusaidia watanzania sasa kama watanzania wanateketea kwa ajli kila siku huku wengi wakiachwa na ulemavu wa kudumu itakuwa haina maana.
Utendaji wa Mh Simbachaweni uko chini ya kiwango kuliko hata wa Kangi Lugola.
Aachie ngazi kama aliyetumwa na busara zake.Kipo kitu fulani
Madereva wavute bangi na kunywa nyagi lawama apewe WaziriHabari za asubuhi wana Jamii Forume
Kwa maslahi ya taifa naona tujadili hili swala. Naona halizungumzwi mahali popote ukiachilia matatizo mengi tuliyonayo kama taifa kwa sasa.
Kumezuka tatizo la ajali za kila mahala takribani ajali 4-5 kwa siku zinaripotiwa kwenye mitandao ya kijamii zikihusisha vyombo vya usafiri wa abiria kama Mabasi yaendayo mikoani.
Pamoja na kuwa usafiri na usimamizi wake uko chini ya Wizara ya mambo ndani hatuoni hatua yoyote inayochukuliwa na Waziri mwenye dhamana Mh Simbachawene. Sio tu kuchukua hatua bali hata kulizungumzia tu yuko kimya.
Kwa maono yangu na jinsi navyoona ripoti hizi naweza kusema baada ya vifo vya corona Ajali tanzania inashika namba mbili.
Tusifanya siasa kwenye maisha ya watu. Mh Rais anakopa pesa kila siku zije nchini kusaidia watanzania sasa kama watanzania wanateketea kwa ajli kila siku huku wengi wakiachwa na ulemavu wa kudumu itakuwa haina maana.
Utendaji wa Mh Simbachaweni uko chini ya kiwango kuliko hata wa Kangi Lugola.
Kama kaanzia kwenye utingo elimu lazima iwe ya kuunga unga, tena ile tu basi acha amalize......na kama kasoma kipindi ameshaukwaa uheshimiwa basi hakuna msomi hapo, ni garasa tu...Watu wanaosoma vyo huria ni watu w akuunga unga elimu sana. Huwa hata haziwabadilishi.
Inahuzunisha Sana Kaka,Ya Isamilo ni moja ua taarifa nyingi zinazotokea kila siku