beth
JF-Expert Member
- Aug 19, 2012
- 3,880
- 6,368
Waziri wa Nchi Ofisi ya Waziri Mkuu, Bunge, Sera na Uratibu, George Simbachawene amesema kwa sasa, si ajabu kukuta pengine matumizi ya Dawa hizo yanafanywa hata na watu wenye nafasi kubwa, akieleza "Hali hii iliendelea tutakuwa na Taifa gani kesho?"
Akiwa Bungeni, Simbachawene amesema ameamua kuzima ukimya kwasababu anafahamu hali hiyo kwa kiasi fulani na hali sio nzuri akisisitiza, "Imekuwa kama 'Fashion' na unakuta matumizi haya yanafanywa zaidi ya Watoto wa Kike kuliko wa Kiume"