Waziri Simbachawene: Matumizi ya dawa za kulevya yamekuwa 'fashion'

Waziri Simbachawene: Matumizi ya dawa za kulevya yamekuwa 'fashion'

Si alikuwa waziri wa mambo ndani majuzi tu? Mbona hakupambana nao?
Unafiki huu hadi lini? Si bora angekaa kimya tu kuficha udhaifu wake?
 
Hata wafuasi wake wamemchoka mapema sana sahivi wameamua kutwambia ukweli watanzania. Mungu ni mkubwa sana na awasimamie waendelee kutwambia ukweli ulivyo wa hii serikali ya hovyo ya matapeli wa mjini
Magenge yote yako kazini sasa!
 
Huyo ni waziri wa mambo ya ndani anaongea hivyo aisee ni kweli imekuwa tangu lile jahazi la kina Nape,Riz na Jmakamba likamatwe na tani 1 then ikaonekana limebeba ngano tangu hapo unga umekuwa fashoon.
Simbachawene sio waziri wa mambo ya ndani wewe unaishi wapi?? [emoji38][emoji38]
USSR
 
Back
Top Bottom