Waziri Simbachawene: Wanaomchafua Rais Samia mitandaoni watafutwe na kufikishwa Mahakamani

Kama una weza kumuambia mama yako hivo basi sawa. Ila ile hotuba nadhani watu hawakusikiliza vizuri kupata context, na vyombo vya habari vili potosha. Simtetei mama ila tue na heshima na tujibishane kwa hoja na kuheshimiana.
Pumbavu nimuheshimu kwani mama yangu huyo! Yeye ni mtumishi kama wengine akituzingua naye atazinguliwa! Halafu wewe ndiye unajipotosha wengine tumemsikia live!
 
Simba apunguze kudemka
 
Anzeni na komredi polepole ana kipindi cha kumbagaza mama yetu
 
Simbachawene ni mfano wa viongozi wabovu tulionao.
Kwa nini hajamkamata mch.Gwajima ambaye ushahidi upo wazi,na bunge lilisema afikishwe kwenye vyombo vya dola?.
Why Tanzania!!??...
 
Kwa hiyo chuichawene anatafuta kukamata wakosoaji wa mama huku mitandaoni, kama ndo kazi ya waziri wa mambo ya ndani hiyo bado tuna safari ndefu sana kama wadanganyika.......
 
do they have that manpower and resources kama magereza, au ni ile kutaka kuonekana tu?
 
Hangaya hangaya ×500
 
Unakamata wa mtandaoni wakati mtaani ndo balaaa matusi Kama yote😁😁
 
Kutukana, kukejeli na matusi sio sawa, pinga kwa hoja, hili halina itikadi chama wala dini!
 
wanaomtetea hachafuliwi bali wananchi hawamtaki maana hakuna cha maana anachokifanya zaidi tu tunasikia leo yupo hapa kesho kule ....tulisema mapema hana uwezo huyo wa kuliongoza taifa hili nadhani wananchi wamechachamaa wanataka uchaguzi ufanyike hata leo wampige chini kwa nguvu zote
 
Kwa sababu ni lady, na mpole wanamtusi ee!!!. Ila wabongo huwajui wanamtaka rais mwenye vigezo ganoooo. Wakati wa kikwete ivyo ivyo, wakati wa magu ivyoivyo, kwa mama ivyoivyo. Labda muwachiwe ninyi muiongoze nchi.


Wakamatwe maramoja waswekwe ndani.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…