Waziri wa Mambo ya ndani, George Simbachawene amesema maandamano ambayo yamepangwa kufanyika kesho siyo maandamano bali ni Mapinduzi.
Akizungumza na Waandishi wa Habari leo kwenye ofisi za Wizara za mambo ya ndani,Simbachawene amesema maandamano hayo siyo halali na hayana kibali chochote kisheria kama inavyotakiwa kwa mujibu wa Katiba ya nchi.
Aidha Simbachawene amewaasa Wananchi kutojiingiza kwenye mkumbo wowote hapo kesho katika siku ambayo maandamano hayo yamepangwa.
Kauli ya Simbachawene inakuwa wakati ambapo taarifa Mbalimbali mitandaoni zimezagaa kuwepo kwa maandamano yasiyo na kikomo kuanzia kesho Disemba 9
Soma pia PostGE2025 - Waziri wa mambo ya ndani Simbachawene aonya juu ya maandamno ya Desemba 9