PostGE2025 Waziri Simbachawene: Yanayopangwa D9 si maandamano ni mapinduzi, vyombo vyetu vya usalama vitayadhibiti

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
Waziri wa Mambo ya ndani, George Simbachawene amesema maandamano ambayo yamepangwa kufanyika kesho siyo maandamano bali ni Mapinduzi.

Akizungumza na Waandishi wa Habari leo kwenye ofisi za Wizara za mambo ya ndani,Simbachawene amesema maandamano hayo siyo halali na hayana kibali chochote kisheria kama inavyotakiwa kwa mujibu wa Katiba ya nchi.

Aidha Simbachawene amewaasa Wananchi kutojiingiza kwenye mkumbo wowote hapo kesho katika siku ambayo maandamano hayo yamepangwa.

Kauli ya Simbachawene inakuwa wakati ambapo taarifa Mbalimbali mitandaoni zimezagaa kuwepo kwa maandamano yasiyo na kikomo kuanzia kesho Disemba 9

Soma pia PostGE2025 - Waziri wa mambo ya ndani Simbachawene aonya juu ya maandamno ya Desemba 9

Amejuaje
 
Kwani akipinduliwa Huyo Samia amabaye ni mtu mmoja tu ili watu wengine waishi kwa amani kuna shida gani?
 
Waziri wa Mambo ya ndani, George Simbachawene amesema maandamano ambayo yamepangwa kufanyika kesho siyo maandamano bali ni Mapinduzi.

Akizungumza na Waandishi wa Habari leo kwenye ofisi za Wizara za mambo ya ndani,Simbachawene amesema maandamano hayo siyo halali na hayana kibali chochote kisheria kama inavyotakiwa kwa mujibu wa Katiba ya nchi.

Aidha Simbachawene amewaasa Wananchi kutojiingiza kwenye mkumbo wowote hapo kesho katika siku ambayo maandamano hayo yamepangwa.

Kauli ya Simbachawene inakuwa wakati ambapo taarifa Mbalimbali mitandaoni zimezagaa kuwepo kwa maandamano yasiyo na kikomo kuanzia kesho Disemba 9

Soma pia PostGE2025 - Waziri wa mambo ya ndani Simbachawene aonya juu ya maandamno ya Desemba 9

Maandamano ni kuwaondoa ccm na polisi, huwezi kumuomba ruhusa jambazi kumzuia.
 
Kirefu cha Ccm ni chama Cha mapinduzi na wanapeta tu mpaka Leo. Kama wao ni chama Cha mapinduzi inakuwaje Wana hofu sana na mapinduzi!🤔
 
Waziri wa Mambo ya ndani, George Simbachawene amesema maandamano ambayo yamepangwa kufanyika kesho siyo maandamano bali ni Mapinduzi.

Akizungumza na Waandishi wa Habari leo kwenye ofisi za Wizara za mambo ya ndani,Simbachawene amesema maandamano hayo siyo halali na hayana kibali chochote kisheria kama inavyotakiwa kwa mujibu wa Katiba ya nchi.

Aidha Simbachawene amewaasa Wananchi kutojiingiza kwenye mkumbo wowote hapo kesho katika siku ambayo maandamano hayo yamepangwa.

Kauli ya Simbachawene inakuwa wakati ambapo taarifa Mbalimbali mitandaoni zimezagaa kuwepo kwa maandamano yasiyo na kikomo kuanzia kesho Disemba 9

Soma pia PostGE2025 - Waziri wa mambo ya ndani Simbachawene aonya juu ya maandamno ya Desemba 9

Huyu naye na elimu yake ya kuungaunga, haijaweza kumwondolea ujinga.

Aeleze ni kifungu gani cha sheria kinasema watu wakitaka kuandamana watapewa kibali, wanapewa kibali na nani? Very stupid!! Sheria imetamka wazi kuwa maandamano ni haki ya wananchi katika kuelezea hisia zao, na wakiamua kuandamana watamtaarifu Mkuu wa polisi wa Wilaya husika angalao masaa 48 kabla., naye atatakiwa kuwalinda waandamanaji. Habati ya kibali, huyu mwendawazimu ameitoa wapi?
 
Na asisahau na ile bar yake ya Titanic pale vingunguti itatembelewa kesho
 
Mwambie atulize matako yake. Watu ttumeshachoma nauli tumesogea maeneo ya tukio. Lazima tukiwashe, labda tukose sapoti ya wenyeji
 
Waziri wa Mambo ya ndani, George Simbachawene amesema maandamano ambayo yamepangwa kufanyika kesho siyo maandamano bali ni Mapinduzi.

Akizungumza na Waandishi wa Habari leo kwenye ofisi za Wizara za mambo ya ndani,Simbachawene amesema maandamano hayo siyo halali na hayana kibali chochote kisheria kama inavyotakiwa kwa mujibu wa Katiba ya nchi.

Aidha Simbachawene amewaasa Wananchi kutojiingiza kwenye mkumbo wowote hapo kesho katika siku ambayo maandamano hayo yamepangwa.

Kauli ya Simbachawene inakuwa wakati ambapo taarifa Mbalimbali mitandaoni zimezagaa kuwepo kwa maandamano yasiyo na kikomo kuanzia kesho Disemba 9

Soma pia PostGE2025 - Waziri wa mambo ya ndani Simbachawene aonya juu ya maandamno ya Desemba 9

Kwani kufanya mapinduzi ni vibaya? Mbona na wao wanajiita chama Cha mapinduzi ? Waanze na kubadilisha Jina la lichama lao ndio wapate kuelezea ubaya wa mapinduzi
 
Waziri wa Mambo ya ndani, George Simbachawene amesema maandamano ambayo yamepangwa kufanyika kesho siyo maandamano bali ni Mapinduzi.

Akizungumza na Waandishi wa Habari leo kwenye ofisi za Wizara za mambo ya ndani,Simbachawene amesema maandamano hayo siyo halali na hayana kibali chochote kisheria kama inavyotakiwa kwa mujibu wa Katiba ya nchi.

Aidha Simbachawene amewaasa Wananchi kutojiingiza kwenye mkumbo wowote hapo kesho katika siku ambayo maandamano hayo yamepangwa.

Kauli ya Simbachawene inakuwa wakati ambapo taarifa Mbalimbali mitandaoni zimezagaa kuwepo kwa maandamano yasiyo na kikomo kuanzia kesho Disemba 9

Soma pia PostGE2025 - Waziri wa mambo ya ndani Simbachawene aonya juu ya maandamno ya Desemba 9

Leo wameanza kujua ya kuwa Tanzania tuna sheria ya Maandamano halali...!!?

At least huyu kakubali kuwa 29 October yalikuwa ni Maandamano. Wenzake wote wamejaribu kukataa kuwa hayakuwa maamndamano bali ni vurugu.
 
Waziri wa Mambo ya ndani, George Simbachawene amesema maandamano ambayo yamepangwa kufanyika kesho siyo maandamano bali ni Mapinduzi.

Akizungumza na Waandishi wa Habari leo kwenye ofisi za Wizara za mambo ya ndani,Simbachawene amesema maandamano hayo siyo halali na hayana kibali chochote kisheria kama inavyotakiwa kwa mujibu wa Katiba ya nchi.

Aidha Simbachawene amewaasa Wananchi kutojiingiza kwenye mkumbo wowote hapo kesho katika siku ambayo maandamano hayo yamepangwa.

Kauli ya Simbachawene inakuwa wakati ambapo taarifa Mbalimbali mitandaoni zimezagaa kuwepo kwa maandamano yasiyo na kikomo kuanzia kesho Disemba 9

Soma pia PostGE2025 - Waziri wa mambo ya ndani Simbachawene aonya juu ya maandamno ya Desemba 9

Mapinduzi anayajua lakini?
 
Utasemaje ni mapinduzi, wakati ni maandamano ya kupinga kitu au vitu fulani.
 
Waziri wa Mambo ya ndani, George Simbachawene amesema maandamano ambayo yamepangwa kufanyika kesho siyo maandamano bali ni Mapinduzi.

Akizungumza na Waandishi wa Habari leo kwenye ofisi za Wizara za mambo ya ndani,Simbachawene amesema maandamano hayo siyo halali na hayana kibali chochote kisheria kama inavyotakiwa kwa mujibu wa Katiba ya nchi.

Aidha Simbachawene amewaasa Wananchi kutojiingiza kwenye mkumbo wowote hapo kesho katika siku ambayo maandamano hayo yamepangwa.

Kauli ya Simbachawene inakuwa wakati ambapo taarifa Mbalimbali mitandaoni zimezagaa kuwepo kwa maandamano yasiyo na kikomo kuanzia kesho Disemba 9

Soma pia PostGE2025 - Waziri wa mambo ya ndani Simbachawene aonya juu ya maandamno ya Desemba 9

Waliojisimika uongozi, sio mapinduzi?? Na Nani ya kuyakabili hayo
 
Back
Top Bottom