PostGE2025 Waziri Simbachawene: Yanayopangwa D9 si maandamano ni mapinduzi, vyombo vyetu vya usalama vitayadhibiti

PostGE2025 Waziri Simbachawene: Yanayopangwa D9 si maandamano ni mapinduzi, vyombo vyetu vya usalama vitayadhibiti

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections
maandamano ya amani,nyie mnaita mapinduzi!?
 
Kauli nzito kama hiyo ilitakiwa itolewe na mtu mkubwa zaidi yake, kama siyo Rais mwenyewe basi CDF.

Pia, pamoja na kwamba sipendi vita au mapinduzi hasa katika mazingira yetu ambayo mazungumzo yangewezekana kabisa kama watawala wangepunguza jeuri, ila kuna wakati ni lazima vitu hivyo vifanyike kuondoa tawala zilizojaa dhulma na ukatili na kurudisha utawala wa haki. Obama aliwahi kuongelea hili la vita vya haki na vita visivyo vya haki.

Mwenyezi Mungu atuvushe salama ili baada ya yote haya yanayoendelea, taifa la Tanzania bado liwepo.
 
Back
Top Bottom