PostGE2025 Waziri Simbachawene: Yanayopangwa D9 si maandamano ni mapinduzi, vyombo vyetu vya usalama vitayadhibiti

Conversations and stories after Tanzania's 2025 General Elections

Richer

JF-Expert Member
Joined
Jun 9, 2025
Posts
2,318
Reaction score
4,079
Waziri wa Mambo ya ndani, George Simbachawene amesema maandamano ambayo yamepangwa kufanyika kesho siyo maandamano bali ni Mapinduzi.

Akizungumza na Waandishi wa Habari leo kwenye ofisi za Wizara za mambo ya ndani,Simbachawene amesema maandamano hayo siyo halali na hayana kibali chochote kisheria kama inavyotakiwa kwa mujibu wa Katiba ya nchi.

Aidha Simbachawene amewaasa Wananchi kutojiingiza kwenye mkumbo wowote hapo kesho katika siku ambayo maandamano hayo yamepangwa.

Kauli ya Simbachawene inakuwa wakati ambapo taarifa Mbalimbali mitandaoni zimezagaa kuwepo kwa maandamano yasiyo na kikomo kuanzia kesho Disemba 9

Soma pia PostGE2025 - Waziri wa mambo ya ndani Simbachawene aonya juu ya maandamno ya Desemba 9

Your browser is not able to display this video.
 
Kwani hao waandamanaji wakisikilizwa na kutekelezewa hata nusu tu wanacho kitaka kuna shida gani?
Watu tuna visukari basi imekuwa mwendo wa kushuka tu kila nikiwaza kuna kusikia risasi na mabomu tena...
 
NATAMANI na Mimi ningekuwa kamanda ili niwashughulikie hawa WAHUNI WANAOJIITA WAANDAMANAJI.
 
Basi tuseme sawa ila mmejitahidi kufahamu hayo MADAI yao?..hasa hili la utekaji..lini mtalikomesha/liacha??..maana tunajua ni ninyi ndio waratibu
 
Tunapindua chama cha mapinduzi.

Wao wanateka, wanaua na wanajiweka madarakani kwa nguvu, wanajiita chama cha mapinduzi, wanapindua kila kitu wakisaidiwa na polisi wao.

kusherehekea uhuru wa nchi hii kuwaondoa itakuwa jambo la maana duniani siyo Tanganyika pekee.

Hayo mabakuli yao wanayoyaita vyombo nayo mapumbavu.

Mwanajeshi, polisi na mgambo, Unaacha familia yako unaenda kulinda wapuuzi wanakula na kusaza, wanaendeshwa kwenye V8 wewe unapigwa jua na njaa kila siku. Badala kuwa sehemu ya wananchi tunaotafuta uhuru mnakuwa sehemu ya wanyonyaji.

Mkiyaua huko malindoni kwenu ndiyo yatawaheshimu, acheni kujazwa ujinga, unapewa bunduki ina risasi unashindwaje kuyaua matawala ya ccm?
 
Mmeuwa watu elfu 23 plus,unakibuli gani cha kuongea hivyo??,mmezika miili ya wapendwa wetu kama kuku waliokufa na kideli,bado mkawanyima watu kuzika miili ya wapendwa wao,mkapola uchaguzi,bado mnateka,mnabaka,mnalawiti,mnafira na mnauwa,hivi nyinyi ni wanyama au majini??
 
Je haiwezekani kuwaka na wapanga Mapinduzi na watekeleza haki yao (maandamano ambayo ni haki kikatiba) ?

Kwanini mnanyima Haki ya wengine kwa kuwarundika watu tofauti au kutumia visingizio ?

Kwahio mpaka wafanya mapinduzi waache kutaka mapinduzi hakuna watu kuandamana ?
 
Rudi darasani, mapinduzi yanaweza tokea bila hayo mafunzo ya kijeshi
Kuwa wewe lecturer tufundishe hapa kwamba jamii isiyokuwa organized kuhusu jambo fulani (kwenye maandamano kila mmoja ana kero yake kero hazifanani) wanaweza vipi kupindua nchi ina jeshi,ina migambo,ina askari jela ina askari UWAJI siku hizi imesogea ina mpaka wale askari wa chama tawala na wote wana bunduki?

WEngi hatujui tufafanulie.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…