Waziri Sophia Simba - Mwenyekiti Mpya UW-CCM (Taifa)

Kwani Anna Abdalla wakati wa Mkapa alipata wapi muda wa kuwa mbunge, waziri wa afya na M/kiti UWT?. Only in TZ is possible wenzetu wenye wito wa huduma huamua kujiuzulu nafasi nyingine na kubakia na mota ili awe effective, ila kwa bongo nafasi hizi ni ulaji na si huduma hata hamsini mtu anazimudi si ni kuhudhuria vikao tu nani atashindwa?.

Kujilimbikizia madaraka ni moja ya dalili ya umasikini wa demokrasia, angalia raisi alivyo na madaraka mengi? Kuna kipindi Makamba alikuwa Mbunge, Katibu wa CCM, Mkuu wa Mkoa, Mwenyekiti wa usalama bara barani, kamanda wa ulinzi na usalama...na vyeo vingine vingi, si kwamba yeye ni mtendaji mzuri kuliko wengine walioyopo bali ni ujinga wa kulewa madaraka na kubeza demokrasia, ukiangalia utendaji ni hakuna kitu. Sasa mh Sophia Simba, ni Mbunge, waziri na sasa mkiti wa wanawake wa CCM Tanzania? Mtu huyu huyu aliyeshindwa kumudu uwaziri leo hii anaongezewa majukumu mengine hivi hakuna mwanamke mwingine mwenye uwezo zaidi yake? Hata kama hawakujitokeza kugombea basi raisi ampunguzie madaraka ya uwaziri ili aweze kuwatumikia vyema huko UWT-CCM

Kaaazi kweli kweli...

Ushi
 
Wakuu
Kwa mtizamo wangu naona kama JK anapanga safu ya kujihakikishia kuwa hakuna mapinduzi ya ndani ya CCM come 2010, as naamini huu uvumi wa mapinduzi ya ndani 2010 anauchukulia seriously,.. Kwa sasa kuna mpaka baadhi ya well placed politicians wanadiriki kumwita OP(Oneterm President).

Kama hivyo ndivyo, no wonder akawakata kina Benno(as haeleweki utii wake kamili ni kwa KALOKIRO au JK) kwenye uwenyekiti wa taifa UVCCM na akawaweka wazanzibari, ambao anajua Karume atawadhibiti wasipinduke.

WAZAZI kama tunavyojua alimwondoa Mkono katika wagombea,na kwa mwendo huu atakaeshinda WAZAZI atakua ni hand picked candidate wa JK, kama tunavyoona yanayotokea huko UWT na Sofia....

Hii yote ni katika kujihakikishia watu wake ndani ya CC come 2010,...maana hata chokochoko za kusema apewe mshindani 2010 zitaanzia CC then NEC watapelekewa kama ajenda. Akishaidhibiti CC vizuri, it means haitaingia kwenye agenda za NEC, hao kina KALOKIRO watakua na almost impossible task ya kufanya mapinduzi ya ndani 2010.

Kwenye siasa, its all about your survival first... country comes second, esp in Africa.
 
-
- Dau la Sophia kwa wajumbe wapiga kura lilikuwa shillingi laki moja kwa kila mpiga kura, mama Janet ametoa zaidi lakini hakuwafikia wapiga kura woten na hasa wasimamizi wa kuhesabu kura, maana technically amechezewa game kwenye kuhesabu.

Wazee wa sauti ya umeme!

Hii ni nini sasa jamani...Kuna wengi wamepoteza imani kabisa na mabadiliko katika nchi yetu...sometimes natamani nijiunge nao.
 
Kwani Anna Abdalla wakati wa Mkapa alipata wapi muda wa kuwa mbunge, waziri wa afya na M/kiti UWT?. Only in TZ is possible wenzetu wenye wito wa huduma huamua kujiuzulu nafasi nyingine na kubakia na mota ili awe effective, ila kwa bongo nafasi hizi ni ulaji na si huduma hata hamsini mtu anazimudi si ni kuhudhuria vikao tu nani atashindwa?.

Nyambala,

Ndio maana Anna Abdalla hakuwa effective kabisa kwenye kazi yake kama mwenyekiti wa UWT.

Waangalie alipokuwa Sophia Kawawa, hakuwa na kazi nyingine yoyote zaidi ya kuwa Mwenyekiti wa UWT. Naamini aliwafanyia mengi wanawake kuliko
hapa makahaba wa vyeo.
 
Wakuu
Kwa mtizamo wangu naona kama JK anapanga safu ya kujihakikishia kuwa hakuna mapinduzi ya ndani ya CCM come 2010, as naamini huu uvumi wa mapinduzi ya ndani 2010 anauchukulia seriously,.. Kwa sasa kuna mpaka baadhi ya well placed politicians wanadiriki kumwita OP(Oneterm President).

Kama hivyo ndivyo, no wonder akawakata kina Benno(as haeleweki utii wake kamili ni kwa KALOKIRO au JK) kwenye uwenyekiti wa taifa UVCCM na akawaweka wazanzibari, ambao anajua Karume atawadhibiti wasipinduke.

WAZAZI kama tunavyojua alimwondoa Mkono katika wagombea,na kwa mwendo huu atakaeshinda WAZAZI atakua ni hand picked candidate wa JK, kama tunavyoona yanayotokea huko UWT na Sofia....

Hii yote ni katika kujihakikishia watu wake ndani ya CC come 2010,...maana hata chokochoko za kusema apewe mshindani 2010 zitaanzia CC then NEC watapelekewa kama ajenda. Akishaidhibiti CC vizuri, it means haitaingia kwenye agenda za NEC, hao kina KALOKIRO watakua na almost impossible task ya kufanya mapinduzi ya ndani 2010.

Kwenye siasa, its all about your survival first... country comes second, esp in Africa.

Mkuu, umesema kila kitu.

Hiyo ni strategy ya ushindi wa ndani ya chama. Inaelekea kufanikiwa. Ila tatizo dogo ni UVCCM. Maana sina uhakika kuwa M-Zenji atakuwa na utii unaohitajika kumhakikishia Mkuu ushindi. Ila kwa UWT, mambo yanaanza kuwa shwari kabisa.
 
Siasa mchezo mbaya. Double crossing is the order of the day. Sophia Simba 2005 alikuwa kambi ya JSM lakini alikuwa akipeleka info kwenye kambi ya JK. Hence mbunge wa kuteuliwa na Uwaziri.
 
Taarifa za uhakika zinasema kuwa Sofia Simba kambwaga mwenzie Janet Kahama. Habari ndio hiyo.
 
Wakuu
Kwa mtizamo wangu naona kama JK anapanga safu ya kujihakikishia kuwa hakuna mapinduzi ya ndani ya CCM come 2010, as naamini huu uvumi wa mapinduzi ya ndani 2010 anauchukulia seriously,.. Kwa sasa kuna mpaka baadhi ya well placed politicians wanadiriki kumwita OP(Oneterm President).

Kama hivyo ndivyo, no wonder akawakata kina Benno(as haeleweki utii wake kamili ni kwa KALOKIRO au JK) kwenye uwenyekiti wa taifa UVCCM na akawaweka wazanzibari, ambao anajua Karume atawadhibiti wasipinduke.

WAZAZI kama tunavyojua alimwondoa Mkono katika wagombea,na kwa mwendo huu atakaeshinda WAZAZI atakua ni hand picked candidate wa JK, kama tunavyoona yanayotokea huko UWT na Sofia....

Hii yote ni katika kujihakikishia watu wake ndani ya CC come 2010,...maana hata chokochoko za kusema apewe mshindani 2010 zitaanzia CC then NEC watapelekewa kama ajenda. Akishaidhibiti CC vizuri, it means haitaingia kwenye agenda za NEC, hao kina KALOKIRO watakua na almost impossible task ya kufanya mapinduzi ya ndani 2010.

Kwenye siasa, its all about your survival first... country comes second, esp in Africa.

Mkuu Sober,
ndo kusema kuwa Janet Kahama kwenda kulalamika kwa JK kwamba Sofia Simba anamchezea rafu kwa kutoa rushwa ilikuwa sawa na kesi ya ngedere kupelekwa kwa nyani???
hakianani sasa ccm wanazidi kupinda, hadi mwenyekiti wao anashiriki kwenye kuwanunua wajumbe??inawezekana kweli kama alivyosema mdau oja hapo mwanzo kwamba JK nae aliingia madarakani kwa kutapanya tsh.133 bilioni inaweza kuwa kweli.
Hivi kumbe siku ile Sofia na Shamsa walionaswa wakiwa na vikao vya faragha pale mikumi guest walikuwa ndo wanaandaa mkakati wa kummaliza Janet!!!kaaaazi kwelikweli.
 
Sophia Simba ndiye Mwenyekiti mpya wa UWT kwa mujibu wa Kipindi cha HArakati cha TBC saa 10 hii.
 
Nimeona kwenye Dullonet, Je nikweli Sofia amepata kura 470 na Janeth amepata kura 383?
 
Wadau,

Hivi Sophia Simba atapata wapi muda wa kufanya kazi zote kama Mbunge, waziri na mwenyekiti wa UWT?

Wakati mamilioni ya watu hawana kazi, hawa wengine wanahodhi vyeo na kushindwa ku deliver.
Hii ni bongo kuna mambo yanatia kinyaa kama hili....huyu Sophia Simba anaonekana mroho wa madaraka sana utasikia atakuja kugombea Uraisi TFF!
 
Naona hatimaye top positions zote za CCM (UWT, UVCCM, CC majority, halmashauri kuu etc.) zinaenda kwa watu wenye faith fulani. Incredible!
 
Una maana dini fulani??? mhhhhhh kazi kweli kweli
 
duh.. yaani bado mnasubiri kujua kilichojiri?

Sophia Simba Asilimia 54.5 (kura 470), Janeth Kahama Asilimia 44.3 (kura 383) Joice Masunga kura 10 (Asilmia 1.1).

Kura zilizopigwa 872 na tisa ziliharibika. Lakini jana kulikua na wajumbe 888 na hivyo inaonekana wajumbe 106 hawajapiga kura ama waliondoka wakijua uchaguzi ni leo wakapigwa bao na JK aliyeamua hakuna KULALA.
 
Sio Sofia Simba ni Sofia Fisi kashinda

Jamani wakati mwingine tutende haki. Angeshinda Kahama tungesema nini? familia yao iko katika siasa na biashara kwa miaka mingapi? Kama ningekuwa mimi Joice Masunga angekuwa Mwenyekiti ili kuondoa kelele lakini nafasi hiyo ni nyeti mno kuelekea 2010 na 2015.
 
Enhe Mama Kahama ndo kashinda? Nafikiri uchanguzi ni halali na haki. Tusipende sana kuhukumu kwa nini usiwe halali?

Hongera zake kama kweli.
 
Back
Top Bottom