Hapana jiwe alikuwa anapenda sana kushirikisha wasaidizi wake ili na wao wajisikie fahari katika maamuzi.Siyo kwamba ngeli ilikuwa haipandiEti muulize wewe. Wakati mkandarasi yupo pembeni. Ila jiwe aligoma kutumia English kwa kichaka cha kukuza Kiswahili, ukweli lugha ilikuwa haipandi
Acha masikhara basi? Jamaa ni PhD holder?😂😂😂😂Huyu jamaa ni PhD holder open university ametunukiwa last year kule Kigoma.
Hata Watanzania kiingereza siyo lugha yaoWachina kiingereza sio lugha yao ila angalia hiyo habari alafu linganisha kiingereza cha mchina na waziri wetu ambaye nchi yetu inakitambua pia kiingereza kama moja ya lugha rasmi.
This sentence is grammatically sound and entirely free of errors. However, if you, as a language expert, believe otherwise, kindly pinpoint the specific flaw. Moreover, if you perceive a mistake where none exists, it would only indicate that your own command of English is questionable.You have our money ndo kuongea vizuri?😅
Usikute hata wewe Huwezi kuandika wala kuongea kingereza kilichonyooka.Huyo Waziri hapo kaongea kama mtoto wa kindergarten anayeanza kujifunza kiingereza. Anavutaaaa maneno, anakosea maneno wakati yupo kwenye issue serious. No wonder huyo mchina alianza kumcheka🤣🤣🤣
PhD ya OUT ni sawa na CertificateHuyu jamaa ni PhD holder open university ametunukiwa last year kule Kigoma.
Kama Kiingereza ni muhinu, hata hao watu wasiojua Kiingereza wana haki ya kumsema Waziri.Humu wengi wanaomsema huyo waziri ukiwaambia waandike au kuongea hicho hicho kingereza basi utaishia kusikitika tu ni wachache sana humu wanaoweza kunyoosha kingereza kama cha kina Kiranga, Nyani Ngabu au Prof Griff
Mkuu waziri is very good ulitaka kusemaje/ waziri is very good.Mimi sijaona tatizo la kingereza cha waziri...
Amezungumza vizuri na anaeleweka vizuri kabisa...
Ndiyo, kuna changamoto kidogo ktk grammar yake (uundaji wa setensi) na matamshi (pronounciation) yake ambako kuna errors/mistakes za hapa na pale, lakini ktk informal speaking kama hapa, kikubwa tunaangalia kufika na kueleweka kwa ujumbe...
Hapa kila mtu ameelewa, mimi nimemwelewa waziri na haina shaka kuwa waliokuwa wana interact naye wameelewa pia...
Usitegemee mtu yeyote ambaye kiingereza sio lugha yake ya kwanza akawa na ufasaha wa kuizungumza na kuandika kwa 100%. Wote humu ndivyo tulivyo hata kama utajirahidi kwa namna zako zote, lazima utakamatwa na makosa ya kutosha ktk writing au speaking yako...
Kama kuna anayebishia hili kuwa yeye yuko competent & fluent kwenye lugha hii, tupeane mtihani mdogo humuhumu...
Nawahakikishia, kila mtu atashangaa, maana wale wanaomhukumu waziri kuwa hajui kiingereza, tutapigwa na butwaa kujua kuwa waziri Ulega is far better than most of these critics here..!
Waziri is very good, amejitahidi....
You're absolutely correct, Mkuu. While they are within their constitutional rights to criticize the Minister, given that their critique centers on his proficiency in English, it would have been more prudent for them to offer their criticisms in the very same English language, thus allowing for a fair evaluation of their own linguistic competence as well.Kama Kiingereza ni muhinu, hata hao watu wasiojua Kiingereza wana haki ya kumsema Waziri.
I agree with you.Kwa sababu Waziri ni kiongozi, katafuta uongozi, anategemewa ajue vitu kama hii lugha.
Even an individual accustomed to perusing esteemed global publications such as The New York Times, The Guardian, The Economist, or someone well-versed in the writings of distinguished authors, including prominent figures from our country like Jenerali Ulimwengu, would undoubtedly perceive your English as rather basic.Kuhusu Kiingereza cha Kiranga. Kiingereza changu ni cha kawaida sana, mtu yeyote aliyesoma Newsweek in teenage years atakijua kuwa cha kawaida tu.
Basi hao walikimbia shule.Tatizo Watanzania wengi Kiingereza ni mgogoro mkubwa sana mpaka mtu anayeongea na kuandika Kiingereza cha kawaida kabisa kama Kiranga anaonekana anajua sana kwa wengi wao.
Kama Kiingereza ni muhimu, si lazima kujua Kiingereza kuunga mkono hoja ya kusema Waziri kuharibu Kiingereza ni jambo baya.You're absolutely correct, Mkuu. While they are within their constitutional rights to criticize the Minister, given that their critique centers on his proficiency in English, it would have been more prudent for them to offer their criticisms in the very same English language, thus allowing for a fair evaluation of their own linguistic competence as well.
I agree with you.
Even an individual accustomed to perusing esteemed global publications such as The New York Times, The Guardian, The Economist, or someone well-versed in the writings of distinguished authors, including prominent figures from our country like Jenerali Ulimwengu, would undoubtedly perceive your English as rather basic.
Basi hao walikimbia shule.
Asipojua kiìngereza kwa ufasaha atashindwa kuongoza na kusimamia miradi? ,english is not aparameter for measuring intelligenceKwanini watu wasio jua kiingereza wanaongea tena kwa sauti kubwa huyu mzee kiingereza hakijui preposition zake ziko poor, pronunciation poor grammar poor eti ni waziri wa ujenzi, hi nchi ina kasoro kubwa katika uongozi.
Wewe unaweza kuandika au kuzungumza Standard English Language kwa ufasaha? Je, si kwamba unakijua kilekile tu cha kujikanyaga kanyaga kama tu ambavyo Waziri anakijua ..?Mkuu waziri is very good ulitaka kusemaje/ waziri is very good.
Ni Bora unge andika kwa kiswahili kwamba waziri yupo vizuri kwenye kukiongea/ kuzungumza kingereza.
All in all,
Ukipewa au ukiwa na Nia ya kugombea unatakiwa ujue lugha hilo halina excuses.
Kitendo Cha executive members wa TAIFA kusua sua kwenye kutema yai haina EXCUSES ni Bora wabakie kua common Man kuliko kuli haibisha taifa letu.
Binafsi kwa hali ya kawaida sioni kama huyu kiongozi hajui kuongea kingereza kama wanavyomkebehi hapa lakini anakosa kitu kinachoitwa "Speaking Fluency" na hilo ni jambo la kawaida kwasababu kingereza sio lugha yake ya kwanza na pengine ni lugha yake ya tatu kabisa.Hoja hapa ni umuhimu wa Kiingereza kwa viongozi, sio umahiri wa Kiingereza wa wananchi.
Kiingereza cha Waziri, katika nchi ambayo Kiingereza ni lugha rasmi, si kizuri, huwezi kukitetea.Binafsi kwa hali ya kawaida sioni kama huyu kiongozi hajui kuongea kingereza kama wanavyomkebehi hapa lakini anakosa kitu kinachoitwa "Speaking Fluency" na hilo ni jambo la kawaida kwasababu kingereza sio lugha yake ya kwanza na pengine ni lugha yake ya tatu kabisa.
Kama alishindwa kujisimamia kielimu ili ajifunze kiingereza fasaha atawezaje kusimamia public mega project?Asipojua kiìngereza kwa ufasaha atashindwa kuongoza na kusimamia miradi? ,english is not aparameter for measuring intelligence
Bado unayo slavery mindset.
Kwa aibu niliyojiskia leo baada ya kusikiza Kiingereza cha Waziri Ulega akizungumza na Wakandarasi Wachina wanaojenga barabara ya mwendokasi huko Mwenge leo nakuomba tu Msemaji wa Serikali zungumza na Waandishi wa habari na waombe tu wasirushe zilr clips za Waziri wetu akizungumza kiingereza.
Kwa kifupi tu Waziri wetu kaharibu mbaya. Ile clip ikienda viral ni aibu sana 😅. Kile kiingereza kitatuaibisha sana kama Taifa. Ni broken isiyovumilika.
Mwisho jamani nafasi za Uwaziri ni kubwa sana. Hawa ni watu wanao negotiate deals kwa faida ya nchi. Wanaosimama kwenye international platforms kuwakilisha nchi. Jamaniii tuteue watu wenye uwezo hata wa kuzungumza hizi lugha kubwa za kigeni kama kiingereza kwa ufasaha.
Poleni Tanzania. Ni aibu
Ni hatari sana. Kuna mahali hakuko sawa kwenye mfumo wetu wa elimu. Chuo kikuu unakuta mwanafunzi anapresent kwa Kiswanglish mwalimu nae vivo hivyo. Kwa tunapoelekea, graduates wetu watashindwa kushindana kwenye soko la ajira la kimataifa kwa sababu hawataweza kufaulu interview.Mi sijui tutatibu vipi hili tatizo kwa kweli. Mwanafunzi wa mwaka wa tatu chuo anashindwa kuunganisha sentensi tatu za kiingereza
Mkuu uchina urusi wajerumani wafaransa wareno mbona wana lugha zao na maisha yanaenda so hawaingiagi miktaba ,yaani mmekuwa brainwashed Ile mbayaukijumlisha na lugha ya kiingereza kwani ndio wanaoingia mikataba kwa niaba ya wizara na nchi.
Kuna namna CCM wameifelisha hii nchi hakuna namna tunaweza wasamehe.Ni hatari sana. Kuna mahali hakuko sawa kwenye mfumo wetu wa elimu. Chuo kikuu unakuta mwanafunzi anapresent kwa Kiswanglish mwalimu nae vivo hivyo. Kwa tunapoelekea, graduates wetu watashindwa kushindana kwenye soko la ajira la kimataifa kwa sababu hawataweza kufaulu interview.
Tumeweka siasa kwenye kila kitu, sasa elimu yetu imekua ya ajabu, tuna graduates wenye ujasiri wa kuita Media kupinga kuajiriwa kwa interview, why? Kwa sababu hawajui vitu na wengi hawawezi kujieleza tena kwa kiingereza.
All in all, ukiwa na mwanao, hakikisha pamoja na kujua Kiswahili, awe na uwezo wa kuzungumza na kuandika kiingereza vizuri. Itamsaidia sana.