Lord denning
JF-Expert Member
- Jun 3, 2015
- 15,819
- 33,255
- Thread starter
- #161
Kaeleweka kwako. Kwa mchina kaonekana kama Comedian ndo mana mchina wawatu alianza kucheka.Kapata tabu ila kaeleweka.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kaeleweka kwako. Kwa mchina kaonekana kama Comedian ndo mana mchina wawatu alianza kucheka.Kapata tabu ila kaeleweka.
OkNdo mana tunapata watoto vilaza wasiojua hadi kujieleza kutoka vyuo vyetu basi.
Shida kuforce. Angetumia mkalimani kama Wachina wanavyofanya wakiwa kwao angepungukiwa nini?Kwani kiingereza ni intelligence ya mtu au ni lugha tu kama kiswahili, mbona wa Japan wengi hawajui kiingereza..........hizo ndo comment za watanzania walio shindwa kumudu lugha ya kiinaereza.
Asimamishwe na kufutwa kazi tu, haya ndiyo madhara ya uchawi kazini......mtu hajuwi akifanyacho lakini anapewa kazi na kupoteza muda.
Kwa aibu niliyojiskia leo baada ya kusikiza Kiingereza cha Waziri Ulega akizungumza na Wakandarasi Wachina wanaojenga barabara ya mwendokasi huko Mwenge leo nakuomba tu Msemaji wa Serikali zungumza na Waandishi wa habari na waombe tu wasirushe zilr clips za Waziri wetu akizungumza kiingereza.
Kwa kifupi tu Waziri wetu kaharibu mbaya. Ile clip ikienda viral ni aibu sana 😅. Kile kiingereza kitatuaibisha sana kama Taifa. Ni broken isiyovumilika.
Mwisho jamani nafasi za Uwaziri ni kubwa sana. Hawa ni watu wanao negotiate deals kwa faida ya nchi. Wanaosimama kwenye international platforms kuwakilisha nchi. Jamaniii tuteue watu wenye uwezo hata wa kuzungumza hizi lugha kubwa za kigeni kama kiingereza kwa ufasaha.
Poleni Tanzania. Ni aibu
I see.

Tatizo una mentality ya kimaskini ndio maana unatukuza lugha za wengine.Kaeleweka kwako. Kwa mchina kaonekana kama Comedian ndo mana mchina wawatu alianza kucheka.
Impact ndo kama hii sasa. Unaoneshwa kuwa Ulega kalega!I
Ni Sawa lakini ukub
Niwaulize nyinyi mna-impact gani kwenye taifa hili nakujua chenu fluent English 🥶
Akimaliza hapo anapewa posho yake, Wachina wanatucheka Sana. Hapo kuna jamaa anaitwa Mr Wei Ndio business manager Ndio anayefanya Mambo.Mwisho jamani nafasi za Uwaziri ni kubwa sana. Hawa ni watu wanao negotiate deals kwa faida ya nchi. Wanaosimama kwenye international platforms kuwakilisha nchi. Jamaniii tuteue watu wenye uwezo hata wa kuzungumza hizi lugha kubwa za kigeni kama kiingereza kwa ufasaha.
Kwani lazima singer kiingereza?
Kwa aibu niliyojiskia leo baada ya kusikiza Kiingereza cha Waziri Ulega akizungumza na Wakandarasi Wachina wanaojenga barabara ya mwendokasi huko Mwenge leo nakuomba tu Msemaji wa Serikali zungumza na Waandishi wa habari na waombe tu wasirushe zilr clips za Waziri wetu akizungumza kiingereza.
Kwa kifupi tu Waziri wetu kaharibu mbaya. Ile clip ikienda viral ni aibu sana 😅. Kile kiingereza kitatuaibisha sana kama Taifa. Ni broken isiyovumilika.
Mwisho jamani nafasi za Uwaziri ni kubwa sana. Hawa ni watu wanao negotiate deals kwa faida ya nchi. Wanaosimama kwenye international platforms kuwakilisha nchi. Jamaniii tuteue watu wenye uwezo hata wa kuzungumza hizi lugha kubwa za kigeni kama kiingereza kwa ufasaha.
Poleni Tanzania. Ni aibu
Achana naKingereza ,huyu .aliingizwa na Magufuli baada ya kutetea ule uharinifu alikuwa anafanya Magunkwenye ule mfuko wa korosho! Enzi zileee!Kuna watu ukiwaangalia tu usoni unajua nini kiko kichwani... Aliwahi kurekodiwa anaongea upuuzi, nashangaa leo ni waziri bado.
Kwa aibu niliyojiskia leo baada ya kusikiza Kiingereza cha Waziri Ulega akizungumza na Wakandarasi Wachina wanaojenga barabara ya mwendokasi huko Mwenge leo nakuomba tu Msemaji wa Serikali zungumza na Waandishi wa habari na waombe tu wasirushe zilr clips za Waziri wetu akizungumza kiingereza.
Kwa kifupi tu Waziri wetu kaharibu mbaya. Ile clip ikienda viral ni aibu sana 😅. Kile kiingereza kitatuaibisha sana kama Taifa. Ni broken isiyovumilika.
Mwisho jamani nafasi za Uwaziri ni kubwa sana. Hawa ni watu wanao negotiate deals kwa faida ya nchi. Wanaosimama kwenye international platforms kuwakilisha nchi. Jamaniii tuteue watu wenye uwezo hata wa kuzungumza hizi lugha kubwa za kigeni kama kiingereza kwa ufasaha.
Poleni Tanzania. Ni aibu
We umeona wapi mtu amekasirika eti alafu anasema we are not aaa aaaaaaaShamba la bibi = grandma's farm
😂😂
Hapa siyo Japan, mfano wa kipuuzi sana huo. Tukubali tu kuwa jamaa kapuyanga frankly speaking yaani karibu ajambe.Kwani kiingereza ni intelligence ya mtu au ni lugha tu kama kiswahili, mbona wa Japan wengi hawajui kiingereza..........hizo ndo comment za watanzania walio shindwa kumudu lugha ya kiinaereza.
Sasa nimeelewa, nilikuwa nawaza ilikuwaje.Achana na Kingereza ,huyu .aliingizwa na Magufuli baada ya kutetea ule uharinifu alikuwa anafanya Magunkwenye ule mfuko wa korosho! Enzi zileee!
Hapa hatuzungumzii utajiri, topic iliyopo kwenye huu uzi ni Kiingereza. Tusiende nje ya mada, it doesn't take a neuroscientist to know that.Wewe mwenyewe unakiweza kingereza au ni wale wale wenye kupenda kucheka lugha za watu?.
Unaweza ukawa unaongea kingereza cha mfalme George wa UK halafu unachunga ng'ombe wa Babu zako kijijini kwenu, unaweza ukawa hujui kingereza vizuri lakini ukawa tajiri mwenye kufanya biashara kubwa za kidunia.