Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 5,203
- 3,913
Kingereza kizuri tu na huyo anayeongea nae ni mchina ambaye pia kingereza sio lugha yake ya kwanza.Nenda youtube kaone mwenyewe.
Vijana wa CHADEMA mnatafuta kwa nguvu kubwa hoja hasi za kuiponda serikali na mawaziri kitu ambacho mnapaswa kuachana nacho mpaka kufikia muda huu.
Mlipaswa kuja na mikakati ya kisiasa yenye kuendana na wakati tuliopo.