Waziri Ulega akipiga mkwara na Kingereza cha ugoko

Kwani kiingereza ni intelligence ya mtu au ni lugha tu kama kiswahili, mbona wa Japan wengi hawajui kiingereza..........hizo ndo comment za watanzania walio shindwa kumudu lugha ya kiinaereza.
Huwa zinanikera sana comments za namna hyo,afu wakat huo unazungumzia inshu muhimu mtu analeta siasa
 
Kwa aibu niliyojiskia leo baada ya kusikiza Kiingereza cha Waziri Ulega akizungumza na Wakandarasi Wachina wanaojenga barabara ya mwendokasi huko Mwenge leo nakuomba tu Msemaji wa Serikali zungumza na Waandishi wa habari na waombe tu wasirushe zilr clips za Waziri wetu akizungumza kiingereza.

Kwa kifupi tu Waziri wetu kaharibu mbaya. Ile clip ikienda viral ni aibu sana 😅. Kile kiingereza kitatuaibisha sana kama Taifa. Ni broken isiyovumilika.

Mwisho jamani nafasi za Uwaziri ni kubwa sana. Hawa ni watu wanao negotiate deals kwa faida ya nchi. Wanaosimama kwenye international platforms kuwakilisha nchi. Jamaniii tuteue watu wenye uwezo hata wa kuzungumza hizi lugha kubwa za kigeni kama kiingereza kwa ufasaha.

Poleni Tanzania. Ni aibu
Naomba mwenye CV ya Ulega. Maana si kwa English mbovu !! Na wachina unaongea vile je wangekuwa Wazungu na lugha yao.

Huyu na Ndalichako na Waziri Jenista hawachekani
 
Wahadhiri wa vyuo vikuu wanafundisha kwa kuchanganya kiingereza na kiswahili. Hakuna ajabu kwa Ulega kuongea hicho kiingereza chake.
 
Naomba mwenye CV ya Ulega. Maana si kwa English mbovu !! Na wachina unaongea vile je wangekuwa Wazungu na lugha yao.

Huyu na Ndalichako na Waziri Jenista hawachekani
Katikati ya maongezi anauliza eti shamba la bibi kwa kiingereza inaitwaje?🤣🤣🤣

Hata wachina wanacheka maana wanamuona kama comedy vile🤣🤣🤣
 
Mbona ni kiingereza kizuri tu (kwa standard zetu).

Mleta mada acha Nongwa
Kwa hiyo wewe unaona kawaida mtu kuongea kwa kujivuuutaaa tena kwa kiingereza cha ugoko alafu baadae anauliza tunasemaje shamba la bibi kwa kiingereza?🤣🤣🤣

Daaah kweli CCM wmetuharibia hii nchi.
 
Kwa aibu niliyojiskia leo baada ya kusikiza Kiingereza cha Waziri Ulega akizungumza na Wakandarasi Wachina wanaojenga barabara ya mwendokasi huko Mwenge leo nakuomba tu Msemaji wa Serikali zungumza na Waandishi wa habari na waombe tu wasirushe zilr clips za Waziri wetu akizungumza kiingereza.

Kwa kifupi tu Waziri wetu kaharibu mbaya. Ile clip ikienda viral ni aibu sana 😅. Kile kiingereza kitatuaibisha sana kama Taifa. Ni broken isiyovumilika.

Mwisho jamani nafasi za Uwaziri ni kubwa sana. Hawa ni watu wanao negotiate deals kwa faida ya nchi. Wanaosimama kwenye international platforms kuwakilisha nchi. Jamaniii tuteue watu wenye uwezo hata wa kuzungumza hizi lugha kubwa za kigeni kama kiingereza kwa ufasaha.

Poleni Tanzania. Ni aibu
Tulishakubaliana kiingereza ni lugha tu kama lugha zingine mfano Kimatumbi, kisukuma, kiswahili,kihindi, kimakua n.k

Acheni kutukuza vya mabeberu na kubeza vyenu...

.. ingekuwa mzungu kaongea kiswahili kibovu mmgemwagia sifa ila Mtanzania mwenzenu kukosea kiingereza mnamtupia mawe.
 
Ipo haja ya kujiuliza nchi za Nigeria, Kenya, Tanzania n.k tukilinganisha kizazi hadi kizazi lugha hii ya kiingereza inazidi kuporomoka viwango na kwa Tanzania kasi ya kuporomoka viwango ni kubwa mno kulinganisha na nchi zingine :

View: https://m.youtube.com/watch?v=wfjWhHt2Brk

Huu ni ukweli kabisa. Generation ya kwanza ya Viongozi wa nchi za Afrika zilizokuwa zinazungumza kiingereza zilikuwa zinaongea kiingereza fasaha sana.

Hatq ukiwasikiliza Majenerali waliokuwa wakipindua Serikali Nigeria miaka ya 1970's hadi 1990 kina Gowon, Babangida na Abacha walikuwaga wanakipiga kiingereza vizuri na unawaelewa vizuri sana.

Kunq Generation ya katikati hapo kipindi cha upe na kutumia vyeti vya binamu aiseee hii Generation ni ya hovyo vibaya sana
 
Sijaona tatizo kubwa katika kingereza, labda lugha tu aliyotumia ya vitisho na kuhusisha mahusiano ya kidiplomasia kati ya nchi mbili ndio haikuwa mahala pake..Kandarasi zinasimamiwa kwa mikataba, sio kwa bilateral cooperation agreement baina ya nchi.
 
Kwa aibu niliyojiskia leo baada ya kusikiza Kiingereza cha Waziri Ulega akizungumza na Wakandarasi Wachina wanaojenga barabara ya mwendokasi huko Mwenge leo nakuomba tu Msemaji wa Serikali zungumza na Waandishi wa habari na waombe tu wasirushe zilr clips za Waziri wetu akizungumza kiingereza.

Kwa kifupi tu Waziri wetu kaharibu mbaya. Ile clip ikienda viral ni aibu sana 😅. Kile kiingereza kitatuaibisha sana kama Taifa. Ni broken isiyovumilika.

Mwisho jamani nafasi za Uwaziri ni kubwa sana. Hawa ni watu wanao negotiate deals kwa faida ya nchi. Wanaosimama kwenye international platforms kuwakilisha nchi. Jamaniii tuteue watu wenye uwezo hata wa kuzungumza hizi lugha kubwa za kigeni kama kiingereza kwa ufasaha.

Poleni Tanzania. Ni aibu
Aibu kubwa hii
 
hakuna mahali nimesema luga ndio kipimo cha utendaji kazi wake..!! alafu mpira na uwongozi na utendaji ni vitu tofauti kabisa kufaninisha
I

Ni Sawa lakini ukub
Lakini sasa ndo utoke kapa kuanzia primary hadi chuo? Kweli? No wonders hawataki kwenda kusafiri kushiriki multilateral platforms!
Kama anajua hakimo why asiongee tu Kiswahili chake?
Niwaulize nyinyi mna-impact gani kwenye taifa hili nakujua chenu fluent English 🥶
 
Hata kumbe huna uelewa wa hoja ya mleta uzi.
Kwa watu kama mawaziri lazima tuwe na watu ambao wapo vizuri kichwani, ukijumlisha na lugha ya kiingereza kwani ndio wanaoingia mikataba kwa niaba ya wizara na nchi.

Kipimo cha mafanikio sio utajiri.
Kila mmoja ana kipimo chake cha mafanikio kulingana na mtazamo wake kuhusu mafanikio.
Hoja yake ni muendelezo ule ule wa utumwa wa lugha ya mkoloni aliyetutawala. Umeshawahi kumsikia Rais wa China akiongea kingereza hadharani?, lakini dunia nzima inamheshimu kwa namna alivyoweza kuliweka juu taifa lake.
 
Kwani kiingereza ni intelligence ya mtu au ni lugha tu kama kiswahili, mbona wa Japan wengi hawajui kiingereza..........hizo ndo comment za watanzania walio shindwa kumudu lugha ya kiinaereza.
Hao aliokuwa anaongea nao wenyew hawajui vizuri kiingereza na ndio wataalam wetu wanatujengea miundombinu, mtu akijua kiingereza cha kuelewana tu inatosha hata kuwa Rais
 
Back
Top Bottom