Waziri Ulega akipiga mkwara na Kingereza cha ugoko

Waziri Ulega akipiga mkwara na Kingereza cha ugoko

Kutamka maneno ya kingereza kama vile umebanwa na fundo la nyama kooni watanzania wanadhani ndiyo kujua kiinglishi ila sio

Mbona mheshimiwa waziri anaeleweka na ameinsist maneno kwa kuyakaza lengo wavimba macho waelewe bwana
 
Waziri aache promo za media, this is sheer none sense.

Kwani mkataba hauna mfumo wa management? Tan road hawana meetings na contractors. And you might find out that hela y mkandarasi imeingia jana, leo waziri anaibuka. Pia mkandarasi analipwa kwa certificate, unampaje hela zote.
 
What is language?
Language is medium of communication?

When communication is said to be complete?
When the speaker and receiver understands each other

Did the Chinese Contractor understood the Minister's message?
Yes,

Then what is your problem Mr hypocrite (Lord denning )?!
My problem is no reforms no election.....!
 
Icho kiingereza kinaeleweka tuu sio mbaya hata zelensky akiongea na trash tramp kiingereza chaka hakieleweki!!
 
Ila ndugu zanguni mnataka mtu aongee na wachina kama anaongea na waingereza. Jamani tuwe exposed basi daaah.
 
ni mbunge wetu huku mkuranga siku alioteuliwa nikajuwa hii serikali kweli inatumia vigezo gani kupata mawaziri maana ulega ni kiraza haswa kwa nyazfa kubwa kama hio nilipata picha ya serikali nzima ilivyo kupitia yeye..!!
Na upumbafu unao kichwani! Lugha si kipimo cha utendaji wa kazi, hizi timu za mpira unakuta wapo wachezaji wa mataifa mbali mbali hawajui kingereza kocha anatumia kingereza na wanaelewana
 
What is language?
Language is medium of communication?

When communication is said to be complete?
When the speaker and receiver understands each other

Did the Chinese Contractor understood the Minister's message?
Yes,

Then what is your problem Mr hypocrite (Lord denning )?!
My problem is no reforms no election.....!
Home boy hakuna sababu ya kutumia hizi lugha za mataifa, lakini fanyia marekebisho hizi sentensi zako mbili.

"when the speaker and receiver understands each other".(kuna makosa hapa,fanya iwe hivi:when speaker and receiver understand each other.(ukishakuwa na compound subject always verb inakuwa ya umoja)).

"Did the Chinese Contractor understood the minister's message?"(kosa jingine hapa,ushakuwa na auxiliary Do katika past form mategemeo yetu ni kwamba main verb itakuwa kwenye base form,kwahiyo hiyo "understood" ni kosa lingine tu lakutumia lugha za watu bila sababu ya msingi)
 
Lugha ni sehemu ya utamaduni, Kiingereza sio sehemu ya utamaduni wetu wala wa China. Binafsi naona amefanya anavyoweza ili pengine hata hao wachina ambao Kiingereza ni lugha pili kwao waelewe. Kimsingi ujumbe umefika na wameelewa. Vile alikuwa anapaza sauti yawezekana kuna sababu ya kufanya hivyo sema kwa sababu hatukuwepo eneo la tukio tunaweza tusijue.
 
Back
Top Bottom