Waziri Ulega akipiga mkwara na Kingereza cha ugoko

Waziri Ulega akipiga mkwara na Kingereza cha ugoko

Hilo tukio nimekumbuka jiwe akiwa mwanza akamsakizia msaidizi wake aongee na mkandarasi wa kichina, aliamua kuepuka fedheha ndogondogo
 

Attachments

  • RPReplay_Final1741185164.mov
    11.8 MB
Mimi sijaona tatizo la kingereza cha waziri...

Amezungumza vizuri na anaeleweka vizuri kabisa...

Ndiyo, kuna changamoto kidogo ktk grammar yake (uundaji wa setensi) na matamshi (pronounciation) yake ambako kuna errors/mistakes za hapa na pale, lakini ktk informal speaking kama hapa, kikubwa tunaangalia kufika na kueleweka kwa ujumbe...

Hapa kila mtu ameelewa, mimi nimemwelewa waziri na haina shaka kuwa waliokuwa wana interact naye wameelewa pia...

Usitegemee mtu yeyote ambaye kiingereza sio lugha yake ya kwanza akawa na ufasaha wa kuizungumza na kuandika kwa 100%. Wote humu ndivyo tulivyo hata kama utajirahidi kwa namna zako zote, lazima utakamatwa na makosa ya kutosha ktk writing au speaking yako...

Kama kuna anayebishia hili kuwa yeye yuko competent & fluent kwenye lugha hii, tupeane mtihani mdogo humuhumu...

Nawahakikishia, kila mtu atashangaa, maana wale wanaomhukumu waziri kuwa hajui kiingereza, tutapigwa na butwaa kujua kuwa waziri Ulega is far better than most of these critics here..!

Waziri is very good, amejitahidi....
 
Mkandarasi abanwa na waziri Ulega, kazi siku za jumamosi hazifanyiki wakati pesa tayari tumewapa. Atishia kampuni hiyo kutopewa kandarasi siku za usoni ikiwa hawamalizi kazi kwa wakati, hakuna dalili kazi zinafanyika kwa uhakika na kutishia uhusiano wa muda mrefu wa mataifa haya mawili ya Tanzania na China ...

View: https://m.youtube.com/watch?v=RP9mtWqz6oU
 
Wewe unalinganisha mlima na kichuguu. Japani ni nchi tajiri kama uingereza na ujerumani. Nguvu ya rugha inaendana na nguvu ya uchumi.
Umemuelewa lakini?? Au mihemko tu?? Mbona hivi wabongo, ukisoma kitabu huwa unakielewa kweli?? Hebu rudia mara tatu kusoma alichoandika.
 
Mimi sijaona tatizo la kingereza cha waziri...

Amezungumza vizuri na anaeleweka vizuri kabisa...

Ndiyo, kuna changamoto kidogo ktk matamshi (pronounciation) yake, lakini ameeleweka vyema kabisa...

Usitegemee mtu yeyote ambaye kiingereza sio lugha yake ya kwanza akawa na ufasaha wa kuizungumza na kuandika kwa 100%...

He is very good...
Do you know that?
 
Kwa level ya uaziri hajui kiingereza hicho ni cha kubabaisha cha Ras sio cha executive position kama ya kwake.
Sijui kama kupata teuzi ya uwaziri wanazingatia competency katika lugha hizi za nje(unaweza nipatia darasa kidogo) lakini niseme ujumbe wake umefika kwa mlengwa na ndio lilikuwa lengo kuu.
 
Hivi hawa wapumbavu siku hizi kuvaa hivyo vikofia viliyoandikwa SSH imekuwa ni sare rasmi???
 
Back
Top Bottom