Waziri Ulega akipiga mkwara na Kingereza cha ugoko

06 March 2025

Tanzania's Finance Minister Mwigulu Nchemba Shares How He Joined the BoT Right After University



View: https://m.youtube.com/watch?v=AQFRdX_dKB8The 9th Gilman Rutihinda Memorial Lecture: Driving the Shift Towards A Cash-Lite Economy | Bank of Tanzania 2025.

This event honors the legacy of the late Governor Gilman Rutihinda, whose visionary leadership and transformative reforms continue to shape our financial landscape today.

This year’s theme, “Driving the Shift Toward a Cash-Lite Economy: Opportunities for Financial Innovation and Inclusion,” aligns with Government initiatives to promote digital financial services and enhance financial inclusion. The lecture will be officiated by the Hon. Dr. Mwigulu Lameck Nchemba, Minister of Finance, and attended by senior government officials, economic and private sector leaders, and renowned researchers.
 
Yuko vizuri
 
Ndiyo shida ya Watanzania tunafikri kuongea Kiingereza kizuri ndio usomi huo. Lakini kwa level yetu ya Kiingereza hicho kinatosha kabisa kufikisha ujumbe. Lengo la mawasiliano ni kufikisha ujumbe, kitu ambacho bwana Ulega amekifanya! Sasa hayo mengine uliyoibua ndiyo ulipaswa iwe hoja ya msingi badala ya kushambulia Kiingereza cha Mh. Ulega!
 
Wazungu wakiongea kiswahili vibaya Huwa hatuwacheki,ila sisi tukiongea kingereza vibaya tunachekana,poor mindset. By the way nimesikiliza kuanzia dakika ya kwanza Hadi ya nne sijaona broken English ya kukufanya uanzishe Uzi, waziri kaua ,ni mzuri wa lugha
 
Aisome The Palm Beach , ujumbe kwake. Umenituhumu kwa kuto kuweza/ kujua kingereza Ila kwa namna Fulani siwezi shindwa kuomba umeme kwa kusema "We want fire in small the bottles"? 😊😊

NB.
Ukiwa KIONGOZI hakuna EXCUSES inapo Kubidi kuzungumza kwa lugha ya kingereza Kama hujiwezi ni Bora ukawa A COMMON MAN.
 
Mkuu, sawa Mbona kiranga kaelezea vyema Sana TU.

Tusijifiche kwenye kichaka...ni sawa na Mimi niseme THE PICTURE IS DROPPING WITHOUT BECAUSE.. WITHOUT BECAUSE niki maanisha bila sababu..ntakua sahihi kweli 😅
 
Mkuu, sawa Mbona kiranga kaelezea vyema Sana TU.

Tusijifiche kwenye kichaka...ni sawa na Mimi niseme THE PICTURE IS DROPPING WITHOUT BECAUSE.. WITHOUT BECAUSE niki maanisha bila sababu..ntakua sahihi kweli 😅
Kiranga mimi nimemwelewa, hoja wala haikupaswa kujikuta kwenye Kiingereza cha Mh. Ulega!
 
Nimemsikia Waziri anasema "We are not shamba la bibi, shamba la bibi ni nini kwa kizungu ?"😃
 
You know sometimes photocopy together...We are not shamba la bibi ,we have long time relationship.
 
Do you know that according to our contract you left with one month ,, oohhh yes
 
Mbona fresh tu. Yeye sio mwingereza. Kazungumza fresh tu.
 
Cha ajabu nini hapo? Yeye ni Mtanzania na lugha yake mama ni Kiswahili. Kiingereza ni lugha tu, tena ya watu wengine. Ni absolutely sensible yeye kutokuwa fluent. Ni kama kumcheka mzaramu hawezi kuongea kisukuma. Au mzungu hawezi kuongea kiswahili. Ni upuuzi.

Au na mimi nikucheke wewe usiyejua Deutsch?
 
Wachina kiingereza sio lugha yao ila angalia hiyo habari alafu linganisha kiingereza cha mchina na waziri wetu ambaye nchi yetu inakitambua pia kiingereza kama moja ya lugha rasmi.

Kuwa moja ya lugha rasmi haimaanishi kuwa ni mandatory or a cultural norm. Nenda uswahilini na uangalie wangapi wanatumia huyo lugha rasmi.

Ni ushamba na ujinga wa hali juu na kipekee kudhani kujua kiingereza ni sign of intelligence or whatever twisted conception you believe in.
 
Unachanganya academical English na communicative English. Hiyo ndiyo sababu watu wanapass physics na kufail English.
Huyo jamaa anaweza kuwa na matatizo yake lakini napinga kwamba kujua English ni sign of ownership or lack of anything.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…