Steven Joel Ntamusano
JF-Expert Member
- Jun 17, 2023
- 5,203
- 3,913
Kingereza kizuri tu na huyo anayeongea nae ni mchina ambaye pia kingereza sio lugha yake ya kwanza.Nenda youtube kaone mwenyewe.
Tunao ushamba wa kuona muongea kingereza ndio mfalme kwenye maisha yetu.Kwani kiingereza ni intelligence ya mtu au ni lugha tu kama kiswahili, mbona wa Japan wengi hawajui kiingereza..........hizo ndo comment za watanzania walio shindwa kumudu lugha ya kiinaereza.
Kipindi nasoma advance mkuranga bwana ulega alikuja shuleni kwetu kutuhonga buku buku alizozichenjisha ili tumpigie kura! Najuta nilikula hela yake na sikuenda kumpigia kura
Kwa aibu niliyojiskia leo baada ya kusikiza Kiingereza cha Waziri Ulega akizungumza na Wakandarasi Wachina wanaojenga barabara ya mwendokasi huko Mwenge leo nakuomba tu Msemaji wa Serikali zungumza na Waandishi wa habari na waombe tu wasirushe zilr clips za Waziri wetu akizungumza kiingereza.
Kwa kifupi tu Waziri wetu kaharibu mbaya. Ile clip ikienda viral ni aibu sana π . Kile kiingereza kitatuaibisha sana kama Taifa. Ni broken isiyovumilika.
Mwisho jamani nafasi za Uwaziri ni kubwa sana. Hawa ni watu wanao negotiate deals kwa faida ya nchi. Wanaosimama kwenye international platforms kuwakilisha nchi. Jamaniii tuteue watu wenye uwezo hata wa kuzungumza hizi lugha kubwa za kigeni kama kiingereza kwa ufasaha.
Poleni Tanzania. Ni aibu
Utumwa haukwepeki as long as mmeamua kuweka viongozi wasio na uwezo.Hoja yake ni muendelezo ule ule wa utumwa wa lugha ya mkoloni aliyetutawala. Umeshawahi kumsikia Rais wa China akiongea kingereza hadharani?, lakini dunia nzima inamheshimu kwa namna alivyoweza kuliweka juu taifa lake.
Misaada ilianza kupokelewa tangu awamu ya kwanza ukiamua kuwaponda viongozi kwa kigezo cha kupokea misaada maana yake uwe tayari kuwaponda wote kuanzia Nyerere mpaka Samia.Utumwa haukwepeki as long as mmeamua kuweka viongozi wasio na uwezo.
Kutegemea na kupokea misaada ni utumwa kuliko hata kutumia lugha ya kiingereza.
Mkuu nimesoma shule za serikali na ni mhadhiri wa chuo kikuu.Kabla huja comment jiangalie kwanza kama umesoma shule zile za ze ufagio ze blackboard huwezi ona shida kwenye kiingereza cha Ulega.
Ndo mana tunapata watoto vilaza wasiojua hadi kujieleza kutoka vyuo vyetu basi.Mkuu nimesoma shule za serikali na ni mhadhiri wa chuo kikuu.
Lugha ya majahazi ni tatizo Sana..muhimu kaeleweka
Kwa aibu niliyojiskia leo baada ya kusikiza Kiingereza cha Waziri Ulega akizungumza na Wakandarasi Wachina wanaojenga barabara ya mwendokasi huko Mwenge leo nakuomba tu Msemaji wa Serikali zungumza na Waandishi wa habari na waombe tu wasirushe zilr clips za Waziri wetu akizungumza kiingereza.
Kwa kifupi tu Waziri wetu kaharibu mbaya. Ile clip ikienda viral ni aibu sana π . Kile kiingereza kitatuaibisha sana kama Taifa. Ni broken isiyovumilika.
Mwisho jamani nafasi za Uwaziri ni kubwa sana. Hawa ni watu wanao negotiate deals kwa faida ya nchi. Wanaosimama kwenye international platforms kuwakilisha nchi. Jamaniii tuteue watu wenye uwezo hata wa kuzungumza hizi lugha kubwa za kigeni kama kiingereza kwa ufasaha.
Poleni Tanzania. Ni aibu
You have our money ndo kuongea vizuri?π π πKaongea vizuri tu mbona ?? Kiko sawa sawa...
Ndo mana mchina mwenyewe akaanza kutoa kichezo hadi Waziri anamind jamaa anacheka.Lugha ya majahazi ni tatizo Sana..muhimu kaeleweka
Kwa nini asingeenda na mkalimani akaongea tu kiswahili mkalimani akatafsiri.Misaada ilianza kupokelewa tangu awamu ya kwanza ukiamua kuwaponda viongozi kwa kigezo cha kupokea misaada maana yake uwe tayari kuwaponda wote kuanzia Nyerere mpaka Samia.
Kingereza ni lugha tu kama kimakua au kishubi, ni umaskini wa fikra kumpima mtu kwa kigezo cha lugha ya kikoloni wakati tunazo lugha nyingi tu za asili.
Tukienda kupatana kuhusu mikataba, tunatumia kiswahili na kuwa na mkalimani!!?Misaada ilianza kupokelewa tangu awamu ya kwanza ukiamua kuwaponda viongozi kwa kigezo cha kupokea misaada maana yake uwe tayari kuwaponda wote kuanzia Nyerere mpaka Samia.
Kingereza ni lugha tu kama kimakua au kishubi, ni umaskini wa fikra kumpima mtu kwa kigezo cha lugha ya kikoloni wakati tunazo lugha nyingi tu za asili.
We unaona sawa Waziri kuvuta maneno kama mtoto wa kindergarten anayejifunza kuongea?π€£π€£π€£π€£π€£π€£ Watanzania jmn hadi uzi mmeanzisha