Chachu Ombara
JF-Expert Member
- Dec 11, 2012
- 6,067
- 10,938
Akiwa kwenye sherehe ya uzinduzi bandari ya Uvuvi Kilwa Masoko, Waziri wa Uvuvi amerusha mawe kwa raia wote waliokuwa wanapinga uwekezaji wa Bandari ya Dar es Salaam wakidai kwamba kwa uwekezaji ule basi nchi haitoweza kuendeleza bandari nyingine yoyote.Amewaita raia hao vizabina
Nanukuu
"Wako watu hapo karibuni walisema maneno mengi sana tulipokubaliana kufanya uwekezaji mkubwa wa kuinua bandari ya Dar es salaam, wapo waliobeza na wapo waliosema kwamba kutokana na uwekezaji unaokwenda kufanywa hatutaruhusiwa kuendeleza bandari yetu sehemu nyingine yoyote"
"Mhe. Rais leo unawaonyesha kwa vitendo wasemaji wa hovyo hovyo, vizabi zabina watu wasioeleweka hatuna kujua kwamba hawa ni popo au wanadamu ukifanya jema hawaelewi, tangu Tanzania iundwe na Mungu leo umeanzisha jambo hapa"