Neuro
JF-Expert Member
- May 13, 2017
- 1,551
- 1,721
Hizo bei umechemka mkuu, wakifurushi mwenye miaka 25 hachangii hiyo pesa[emoji23][emoji23][emoji23]. Yaani umeizidisha mara tatu. Jitafakari kauli zenu bob[emoji23][emoji23][emoji23]Watumiaji wakubwa wa NHIF ni watumishi wa serikali na mashirika ya umma. Niliwahi kuuliza humu nikajibiwa kwamba wanakatwa 3% ya mshahara kama ada ya uanachama. Maana yake anayepokea milioni moja kwa mwezi atakatwa 30,000 na kwa mwaka 360,000.
Kijana wa miaka 25 anachangia zaidi ya 500,000 kwa mwaka kama si muajiriwa. Mfanyakazi anapata huduma kwa hadi watu sita. Mtu binafsi ni yeye peke yake.
Hawa wanaochangia binafsi wamepunguziwa huduma ambazo wafanyakazi na wategemezi wao wanapata pamoja na kwamba wao wanalipa zaidi ya wafanyakazi.
Hili linahitaji kuangaliwa.