Miss Zomboko
JF-Expert Member
- May 18, 2014
- 4,599
- 9,532
MK254 njooni mchukue mbinu jinsi ya kuiteketeza korona uipeleke kwa Uhuru na Rutto.Hivi inawezekana ikawa tumetumia mbinu gani kulishinda hili janga hivi, Kwa mbinu yoyote tuliyotumia kwanini tusi share na ulimwengu ili kunusuru dunia na hili janga
Sent using Jamii Forums mobile app
Ugonjwa Umepungua Sana yaani wamebaki wagonjwa wanne tu TZ Nzima ila Mipakani huko Kila siku "MADEREVA WA NCHI NYINGINE" wanakutwa na Korona.Waambieni madereva wa ambulance wawe wanazima ving'ora!
Maana si kwa kupisha huku.
Hivi inawezekana ikawa tumetumia mbinu gani kulishinda hili janga hivi, Kwa mbinu yoyote tuliyotumia kwanini tusi share na ulimwengu ili kunusuru dunia na hili janga
Sent using Jamii Forums mobile app
So kilichotuponya watanzania ni maombi na sala? Sasa tufunge basi na kusali kwa ajili ya dunia. Tuwaombee na wao basiUlimwengu walidharau sana.Wasipotubu kwa dhihaka zao kipindi kile taifa letu linamlilia Mungu,sasa si waendelee kutumia hizo mbinu za kisayansi walizosema sisi tumeziacha.Hii kitu itawasumbua sana.wacha sisi tuendelee kupiga kazi.Watanzania pigeni kazi kipindi cha kutajirika ndiyo hiki.majirani watakuwa na njaa.mitaji yao itakuwa imekata by the time wanapata akili
... waliopungua ni wagonjwa waliolazwa (4) ila Corona ipo; tusipochukua tahadhari tutarudi pale pale! Nadhani ndicho alichomaanisha.Kama imepungua mno wafungue na shule za msingi na olevel.
Wewe ni Tomaso!Nyie wasikilizeni ccm muanganie
Hivi umeona kinachoendelea marekani..?Hivi inawezekana ikawa tumetumia mbinu gani kulishinda hili janga hivi, Kwa mbinu yoyote tuliyotumia kwanini tusi share na ulimwengu ili kunusuru dunia na hili janga
Sent using Jamii Forums mobile app