Waziri Ummy: CoronaVirus bado ipo, tuendelee kuchukua tahadhari

Waziri Ummy: CoronaVirus bado ipo, tuendelee kuchukua tahadhari

Mficha maradhi..........ata Burundi waliserebuka lakini sasa ngoma imepiga hodi Ikulu ilo ndo tunasubiri kwa sasa.
 
Ni wagonjwa vituoni ndio wamepungua baada ya kubadilisha utaratibu na kuwaruhusu wakaugulie nyumbani. Yule anayezidiwa ndio anafika vituoni na wengi hufika na kufa kwa kinachoitwa kushindwa kupumua, lakini mtaani wako wengi sana wachache wana dalili. Sasa hivi ni 'survival of the fittest'
 
Hivi inawezekana ikawa tumetumia mbinu gani kulishinda hili janga hivi, Kwa mbinu yoyote tuliyotumia kwanini tusi share na ulimwengu ili kunusuru dunia na hili janga

Sent using Jamii Forums mobile app
Maombi ya kudhamiria nchi nzima siku tatu mfululizo yakiongozwa na Raisi wetu John Pombe Magufuli,ndio ilikuwa silaha yetu...
 
ya kuambiwa changanya na yakwako lasivyo utaimbiwa parapanda kwenye social network...
 
corona imeisha ila mtaani pamekuwa pakavu mno..kila leo bora ya jana...
 
Zile ni siasa chafu zinazofanywa na Kenya dhidi ya nchi yetu. Madereva wetu wako na afya njema.
Wale wa juzi waliorudishwa na kukabidhiwa kwa mamlaka kutoka Kenya na Uganda wako wapi? Serikali hii bhana ina mambo ya ajabu sana.
 
Mgonjwa aliyefia Rwanda alitokea Tanzania akiwa anaumwa sana baada ya kunyimwa matibabu kwa kuambiwa akajihudumie nyumbani
 
So kilichotuponya watanzania ni maombi na sala? Sasa tufunge basi na kusali kwa ajili ya dunia. Tuwaombee na wao basi
Naelewa unachosema hapa mkuu.

Huenda inabidi pia tuhimize kufunga na kumwomba Mungu aipendelee Tanzania ili uchumi wake uwe tofauti na hayo mataifa asiyoyapenda Mungu.

Hii nchi ujinga umeimarika sana awamu hii; na wanaotutia ujinga wanafurahi kweli kweli na wanafaidika sana kwa kutufanya tuzidi kuwa wajinga. kwa sababu hilo linawapa uhakika wa kufanya chochote wanachotaka bila ya kuhojiwa.
Kinachofuata sasa ni uchaguzi mkuu..., kama coronavirus haitoshi kusambaza propaganda za unusu mungu, sijui kuna jambo gani tena litakalowafaidisha kwa kulieleza kwa wajinga.
 
ulaya watu wameachiwa beach wanajirusha...ukiona hivyo corona kwisha habar yke
 
corona ni UGONJWA UNAOLETWA NA HOFU.
Angalia marekani mwanzo walijifungia kwa kuogopa corona.
Lakini alipouliwa yule black America wametoka nje tena bila barakoa.
JE kwenye maandamano yale ni watu wangapi wameambukizwa corona?.
 
Back
Top Bottom