Lordrank
JF-Expert Member
- Apr 16, 2020
- 453
- 247
Mkuu unazitaka za Nini hizo picha!?Halafu huwezi amini hata zile picha za maziko sizioni siku hizi!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu unazitaka za Nini hizo picha!?Halafu huwezi amini hata zile picha za maziko sizioni siku hizi!
Kweli wewe ni Tomaso aiseee.Halafu tumezungukwa na nchi zenye wagonjwa kibao, mipaka ipo wazi. Life as usual
Nahitaji calculator ya logarithim kuamini hii kitu
Wamepona Bwashee wako -ve!Wale wa juzi waliorudishwa na kukabidhiwa kwa mamlaka kutoka Kenya na Uganda wako wapi? Serikali hii bhana ina mambo ya ajabu sana.
Ugonjwa Umepungua Sana yaani wamebaki wagonjwa wanne tu TZ Nzima ila Mipakani huko Kila siku "MADEREVA WA NCHI NYINGINE" wanakutwa na Korona.
Amina [emoji120][emoji120][emoji120]Mungu Ameturehemu Watanzania. Mungu ni Mwema. Ee Muumba wa Mbingu na Dunia.... Tunasema Asante kwa Rehema hii KUU katika ardhi ya Tanzania. Asante kwa kutulinda na kutuponya Gonjwa hili Novel COVID - 19
Mungu Ameturehemu Watanzania. Mungu ni Mwema. Ee Muumba wa Mbingu na Dunia.... Tunasema Asante kwa Rehema hii KUU katika ardhi ya Tanzania. Asante kwa kutulinda na kutuponya Gonjwa hili Novel COVID - 19
Nipo tu hapa nawaangalia wale waliokuwa wamebeza maombiHalafu mjinga mmoja aje kusema hakuna Mungu!!
case ni kuwa, hakuna cha bure, ukitaka Mungu akuangaikie lazima umuhangaikieUnataka tukubali kuwa Mungu anatulinda sisi Watanzania tu? Mamilioni wanaokufa na Covid 19 ulimwenguni wao vipi hawapendwi na Mungu aliyewaumba?
Unaona walioji lockdown walivyopukutika? Sisi tuliachwa tukapata fresh air.Hivi inawezekana ikawa tumetumia mbinu gani kulishinda hili janga hivi, Kwa mbinu yoyote tuliyotumia kwanini tusi share na ulimwengu ili kunusuru dunia na hili janga
Sent using Jamii Forums mobile app
Hahahahahah tucheke tu hakuna jinsiUgonjwa Umepungua Sana yaani wamebaki wagonjwa wanne tu TZ Nzima ila Mipakani huko Kila siku "MADEREVA WA NCHI NYINGINE" wanakutwa na Korona.
Utapataje taarifa sahihi wakati mshakuwa Korea KaskaziniHivi inawezekana ikawa tumetumia mbinu gani kulishinda hili janga hivi, Kwa mbinu yoyote tuliyotumia kwanini tusi share na ulimwengu ili kunusuru dunia na hili janga
Sent using Jamii Forums mobile app
Una akili sana man... waliopungua ni wagonjwa waliolazwa (4) ila Corona ipo; tusipochukua tahadhari tutarudi pale pale! Nadhani ndicho alichomaanisha.
Mkuu usidharau maombi na sala. Ulimwengu wa roho una nguvu sana katika ku influence ulimwengu kimwiliSo kilichotuponya watanzania ni maombi na sala? Sasa tufunge basi na kusali kwa ajili ya dunia. Tuwaombee na wao basi