Waziri Ummy: CoronaVirus bado ipo, tuendelee kuchukua tahadhari

Waziri Ummy: CoronaVirus bado ipo, tuendelee kuchukua tahadhari

Watu wanachapa kazi na covid 19 inawachapa watu hapa ngona droo
 
Maombi ya kudhamiria nchi nzima siku tatu mfululizo yakiongozwa na Raisi wetu John Pombe Magufuli,ndio ilikuwa silaha yetu...
Maombi yaliombwa kwa Allah, Krishna, mizimu, n.k.

Hakuna vipimo kuthibitisha kuwa maombi yamejibiwa.
 
sisi ni Taifa teule la Mungu...Mtu wa kwanza aliishi hapa,tuan Ikulu kubwa kuliko zote,ni wa pili kwa vivutio vy Utallii Duniani,Kwa nini tusiwe nchi pekee ambayo Corona inatuogopa!
Halafu ni masikini kuliko almost nchi zote duniani. Na umasikini ni laana, inakuaje taifa teule linakuwa na laana ya umasikini
 
Waongo hawa. Je hawapimi tena ?Hii serikali bwana. Wanasema uongo kwa sababu zao za kisiasa. Naona hata Zanzibar wamepigwa pini kutangaza.
 
Mtaani wapo wa ngapi? vipimo wanapima wangapi kwa siku? vipi mazingira ya kupima yako wazi au bado ni yale yale mpaka uonekane unakohohoa karibia kutapika nyongo?
 
Ugonjwa Umepungua Sana yaani wamebaki wagonjwa wanne tu TZ Nzima ila Mipakani huko Kila siku "MADEREVA WA NCHI NYINGINE" wanakutwa na Korona.
Yaani sifa kuu ya kupata madaraka ndani ya serikali ya Ccm uwe muongo. Na uongee mambo ya kumsifu jamaa.
Kwa akili ya kawaida ni mjinga kiasi gani anaweza kuamini haya maneno ya huyu dada?
Tumuogope sana Mungu..
Za kuambiwa!!!! Changanya na za kwako
 
Ummy Mwalimu kapiga bomu ufipa na kumsambaratisha Mbowe na vijikamanda vyake vinavyoombea ugonjwa wa covid-19 kila kukicha.
 
Ugonjwa Umepungua Sana yaani wamebaki wagonjwa wanne tu TZ Nzima ila Mipakani huko Kila siku "MADEREVA WA NCHI NYINGINE" wanakutwa na Korona.

Kibongo bongo hao wa mipakani tusiowapima sisi hawana Corona.

Hao kupatikana kwao na Corona ni njama za mabeberu tu kutaka kutupiganisha sisi vita vya kiuchumi.

Kibongo bongo tofauti na kote duniani, sisi kwa vita vya Corona mstari wa mbele wako jamaa wa TSIS kwani madaktari siyo riziki.
 
So tuache kula ndimu,vitunguu swaumu na pilipili?
 
Janga limeshindwa kwa ugumu wa waafrika wenyewe..mbona kitu kiko wazi isipokua mnapenda tu kurefusha mijadara
Hivi inawezekana ikawa tumetumia mbinu gani kulishinda hili janga hivi, Kwa mbinu yoyote tuliyotumia kwanini tusi share na ulimwengu ili kunusuru dunia na hili janga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Na tuombe game iishie hapa vinginevyo yasije tukute ya Brazil ambapo sasa kuna maandamano ya kumtaka rais wao ajiuzuru
 
Je visa mpk sas no vingapi. Na je waliokufa mpk leo ni wangap. JK aliwahi sema akili ya kuambiwa changanya na zako
Sawa....naona baadhi ya Wakenya wamepiga picha makaburi ya pale Kinondoni na kusema kuwa Yale ni ya waliokufa kwa Corona...inaelekea wakenya hao Wana washirika kadhaa hapa TZ
 
Back
Top Bottom