Waziri Ummy: CoronaVirus bado ipo, tuendelee kuchukua tahadhari

Waziri Ummy: CoronaVirus bado ipo, tuendelee kuchukua tahadhari

Naona vita vyetu labda Mungu katupigania.
Huenda sisi ni watakatifu sana.😀😀
 
Kumtegemea Mola mtukufu wa viumbe ni jambo kubwa sana japo wapumbavu wana kejeli

Kasi ya kushuka kwa maambukizi haya ni matokeo ya rehma zake Mola baada ya kuombwa
Hivi inawezekana ikawa tumetumia mbinu gani kulishinda hili janga hivi, Kwa mbinu yoyote tuliyotumia kwanini tusi share na ulimwengu ili kunusuru dunia na hili janga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Halafu huwezi amini hata zile picha za maziko sizioni siku hizi!
 
Naona vita vyetu labda Mungu katupigania.
Huenda sisi ni watakatifu sana.😀😀
Hata hivyo ilikuwa corona isikanyage kabisa ardhi ya TZ kama ilivyokuwa kwa nzige wachache tuu wenye imani haba mlituharibia.
 
Sielewi. Ninachanganyikiwa. Wananchi wengi kwa sasa maeneo ninakoishi hawachukui tahadhari yeyote.

Kwa taarifa hizi wanasema Korona imekwisha. Hawaoni sababu ya kujikinga na gonjwa hili.
 
Hivi inawezekana ikawa tumetumia mbinu gani kulishinda hili janga hivi, Kwa mbinu yoyote tuliyotumia kwanini tusi share na ulimwengu ili kunusuru dunia na hili janga

Sent using Jamii Forums mobile app
sisi ni Taifa teule la Mungu...Mtu wa kwanza aliishi hapa,tuan Ikulu kubwa kuliko zote,ni wa pili kwa vivutio vy Utallii Duniani,Kwa nini tusiwe nchi pekee ambayo Corona inatuogopa!
 
Halafu tumezungukwa na nchi zenye wagonjwa kibao, mipaka ipo wazi. Life as usual

Nahitaji calculator ya logarithim kuamini hii kitu
 
Je visa mpk sas no vingapi. Na je waliokufa mpk leo ni wangap. JK aliwahi sema akili ya kuambiwa changanya na zako
 
Basi sawa, na watoto wa primary warudi shule sasa[emoji18]
Yes, very soon, kwanza tunaambiwa wagonjwa wamebaki wanne, then tukiwa kwenye kilele cha kusherehekea tunatangaziwa siku ya shule kufunguliwa.
 
Back
Top Bottom