Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 301,221
- 1,172,274
Ndipo tulipofikia.
So twende na legacy basi
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
So twende na legacy basi
Basi haikwenda publicrekodi zake tunazo za wizi pale mlimani city
Aisee we sehemu nyeti kama Kariakoo hapana vifaa kabisa kama water hydrants huko kwingine vipi hii Nchi kuna watu wamelala bana maofisiniHii nchi bwana usije shangaa kusikia hata pale BOT, hakuna vifaa vya kutambua viashiria vya moto!!!
Hopeless kabisa hawa mawaziri wetu. Eti kujengewa visima!!!Waziri wa TAMISEMI, Mhe. Ummy Mwalimu amesema Serikali itajenga visima vya maji kwenye masoko na stendi za mabasi zote zinazomilikiwa na Halmashauri ili kukabiliana na majanga ya moto pindi yanapojitokeza.
Chanzo: Radio One
Pathetic.Waziri wa TAMISEMI, Mhe. Ummy Mwalimu amesema Serikali itajenga visima vya maji kwenye masoko na stendi za mabasi zote zinazomilikiwa na Halmashauri ili kukabiliana na majanga ya moto pindi yanapojitokeza.
Chanzo: Radio One
kwahiyo machinga wamekunywa maji ya kuzimia moto?Tatizo ni machinga kila kona yaani siju watu watapita wapi kwenda kuuzima huo moto Wenyewe
Wakati moto ukiwaka umeme huzimwa kwenye eneo husika. Hivyo visima vita toa maji kwa kutumia huo huo moto?Waziri wa TAMISEMI, Mhe. Ummy Mwalimu amesema Serikali itajenga visima vya maji kwenye masoko na stendi za mabasi zote zinazomilikiwa na Halmashauri ili kukabiliana na majanga ya moto pindi yanapojitokeza.
Chanzo: Radio One
Hatutaki visima kabla ya sanamu. Anzeni sanamu ya Bwana mkubwa, zitakazobaki kama zipo ndo mfikirie visima vyenu.Waziri wa TAMISEMI, Mhe. Ummy Mwalimu amesema Serikali itajenga visima vya maji kwenye masoko na stendi za mabasi zote zinazomilikiwa na Halmashauri ili kukabiliana na majanga ya moto pindi yanapojitokeza.
Chanzo: Radio One