Waziri Ummy Mwalimu: Maambukizi COVID-19 ya ndani kwa ndani yameanza, Watanzania wajiandae kwa maambukizi ya Jumuiya

WIKI MBILI ZIJAZO ZITATOA PICHA YA MLIPIKO WA CORONA TANZANIA: UMMY

“Ninaomba niwaeleze ukweli..wiki ya kuanzia Jumatatu … mpaka wiki mbili, ndiyo itatupa mwelekeo wa hali ya mlipuko wa ugonjwa wa #Covid19 utakavyokuwa katika nchi yetu…ndipo tutakapojua kama tutalala au hatutalala,” - #WaziriWaAfya, Ummy Mwalimu.

#MlipukoCoronaTanzania #CoronaTanzania #MaambukiziYaCorona #
 
Pale Uganda Mzee museven anafanya mazoezi chumbani angalia hapa lakini hapa Tanzania Mzee yupo chato angalia hapa
 

Attachments

  • JsZu_eSAVyPzPXtl.mp4
    1.8 MB
  • IMG_20200324_092252.jpg
    119.8 KB · Views: 1
Yeremia : Mlango 30
17 Maana nitakurudishia afya, nami nitakuponya jeraha zako, asema BWANA, kwa sababu wamekuita, mwenye kutupwa, wakisema, Ni Sayuni, ambao hapana mtu autakaye.
 
Hizo siku 10 Ni incubation period,lakini ukishaupata hata Kama hufi,ukilazwa unaweza maliza mwezi,mpaka Sasa Kama sikosei waliolazwa na kupona Ni watatu tu,,wengine bado wako hospital na leo Ni wiki ya tatu nadhani,,
Ukiupata kabla haujazidiwa unaweza ambukiza family you kabla hujajigundua una corona
 
Yeremia : Mlango 4
18 Njia yako na matendo yako yamekupatia haya; huu ndio uovu wako; kwa maana ni uchungu, hakika unafikilia hata moyo wako.Huzuni kwa Taifa Liangamialo
 
Bila shaka utakuwa ndugu yake "kilaza".

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwanini serikali imeruhusu mpaka ugonjwa umefikia kwenye community transmission? Serikali ilikua na nafasi ya kufanya maamuzi magumu hata kwa kuweka partial lockdown,,kuzuia shughuli za mikusanyiko kama ibada,,starehe nk.

Mgaufuli atafanya maamuzi magumu sasa wakati athari za kiuchumi na vifo itakua kubwa zaidi,,,watanzani tutalipa bei kubwa sana kwenye hili janga la Corona huku waimba mapambio wakihamisha magoli tu.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Its tooo late
Hatujachelewa Sana,kinachohitajika full lockdown hasa miji mikubwa dar,mz,Arusha,mbeya kwa mda wa siku 14,hii itazuia maambukizi mapya na wale walioambukizwa hizo siku zinatosha ugonjwa kuwa incubated na hivyo watajulukana na kuwa isolated

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…