wa hapahapa
JF-Expert Member
- Aug 22, 2012
- 7,455
- 4,395
Kama serikali hamna strategy,xia watu wasitoke mkoa kwenda mkoa kwa kibalimaalumu
Unafanya vizuri sana maana umemtuliza vema sana..... Endelea vivyo hivyo....Yuko kwangu
You naughty 😀Yuko kwangu
Ahsante mkuuUnafanya vizuri sana maana umemtuliza vema sana..... Endelea vivyo hivyo....
Sent using Redmi Note 7 Pro
SometimesYou naughty 😀
ccm ni chama cha ukomboziKuna tetesi kuwa nyie watu wa CCM hamtapata na maambukizi ya Corona ndiyo maana mwenyekiti wenu wa chama kasema tembeeni kifua mbele
Unafanya vizuri sana maana umemtuliza vema sana..... Endelea vivyo hivyo....
Sent using Redmi Note 7 Pro
Yep! Wataalam wa afya wanapotuambia kuhusu family planning sie tunawabeza.. Tunahamasishana kuzaana 'kwa sana'... Then the mother Earth comes with its measures to balance the World population!
Hapo wanaanza kutengeneza mazingira ya kutangaza idadi yenyewe na siyo zile ngonjera
♡♤Life belongs to all who struggle for it♤♡♧
Subiri uumwe ndio utajua kama ugonjwa unafichika au haufichiki.Hivi huu ugonjwa unafichika?
Hapo unapokaa kuna mgonjwa yetote? Au umeshuhudia mtu yeyote akisema ana ndugu yake anaumwa corona?
Sent using Jamii Forums mobile app
Unaongea nini aiseeeUmmy Mwl aache kututisha bwana. Maambukizi kitu gani bana
Unashauri inge endeshwa ki ingereza eehHii inchi inaendeshwa kiswahili sana.
Zile wiki mbili nadhani sasa zinaelekea kutimia,huu ndo wakati hasa wa ku apply safe distance na kuosha mikono.
Nimegundua kwenye uoshaji mikono wahudumu mfano wa maduka, bar etc hawaoshi mikono kabla na baada ya kumuhudumia mteja mmoja.
Wakati wait ndo wanakamata pesa kutoka kila mtu, hii Ni hatari maana mfano uko bar,umeagiza beer,umenawa, muhudumu kakufungulia bia,kumbe mikono yake imeshika pesa za mtu mwingine na iko taitend, anaacha virusi kwenye chupa,wewe unakamata chupa unakunywa huku unaperusi mtandaoni, bila kujua umeshika virus na umehamishia kwenye simu.
Unamaliza bia unalipa,unanawa na kuondoka huku ukiperusi,umesahau Sasa simu Ina virus,unapeleka virus kwako,unaingia ndani unashika kitasa cha mlango, umeacha virus.
Unashika chupa ya chai,umeacha virus,hivyo yeyote atakaeshika hizo sehemu anaingia kwenye mlolongo
Tena ndo awe wa kwanza kuupata tuombe Mungu umfikieSubiri uumwe ndio utajua kama ugonjwa unafichika au haufichiki.
Ndugu zako wangapi wanaugua halafu hawajatangazwa?Hapa Tz corona Italeta madhara yakiuchumi tu.... Maana wengi wenye corona awatangazwi.
Tuambie ukweli ili tuchukue hatuaHawa kuna kitu wanatuficha hasa kwenye takwimu za walioambukizwa huu ugonjwa nchini. Ngoja ngoma isambae watafichua wenyewe.