Tayana-wog
JF-Expert Member
- Feb 26, 2012
- 24,844
- 29,126
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
corona is real. Tusikilize maelekezo ya wataalamu wa afyaUnaongea nini aiseee
Nimefuatilia graph ya corona cases tanzania inaonyesha inapanda kwa watu 2 kila wanapotangaza wanatumia mbinu ya kuongeza watu 2 kila wanapotangaza, usije kushangaa wakitangaza tena ikiwa 27Hawa kuna kitu wanatuficha hasa kwenye takwimu za walioambukizwa huu ugonjwa nchini. Ngoja ngoma isambae watafichua wenyewe.
[emoji1324][emoji1324][emoji1324]Hahahaha, naambiwa inapishwa pasaka tu, then maamuzi magumu yaja , tena maamuzi magumu haswa
Dalili ziko wazi kabisa.Hahahaha, naambiwa inapishwa pasaka tu, then maamuzi magumu yaja , tena maamuzi magumu haswa
Magufuli priority yake ni pesa,uhai wa wanyonge wa nchi hii si issue kwake? Sometime huwa najiuliza, tunataka Magufuli afanye kitu gani ndo tujue hstufaiWaziri wa Afya Ummy Mwalimu akiongea na viongozi wa dini, amesema kuwa kwa sasa hali ya ugonjwa wa Korona nchini imebadirika kutoka kuletewa ugonjwa na watu kutoka nje imegeuka kuwa hali ya kuambukizana sisi wenyewe kwa wenyewe.
Wakati huo Waziri Ummy ameonya kuwa ndani ya muda mfupi ujao maambukizi yatageuka kuwa maambukizi ya jumuia(Community Transmission), akawataka watanzania wajiandae kwa hali hiyo.
MY TAKE:
Tuliwaambia mapema kabisa, Fungeni hii mipaka ya nchi mtatuletea janga, lakini tukaendelea kujivutavuta sasa tunakwenda kwenye hali ngumu sana
Tumeona juzi hapa mtu katoka Dubai tarehe 24 March kashuka Dar, kisha tukasikia kaenda mwanza tarehe 29 March alipopimwa na kukutwa na Korona, huyu mtu ilikuwaje hakuwekwa karantini?
Kwa hiyo ina maana Kwenye Karantini hatukuwa serious na pia kwenye kufunga borders hatukuwa serious, sasa matokeo yake huenda tukaingia kwenye hali ngumu
Kiufupi serikali haiwezi kukwepa lawama hali ikigeuka na kuwa mbaya nchini.
Saa hivi hao wachina tuliokuwa tukiwapokea kwa bashasha pale KIA kipindi wapo kwenye hali ngumu sasa hivi wamefuta residence permit na viza za foreigners walio nje ya mipaka ya nchi yao na wanawasumbuasumbua foreigners walio nchini mwao kwa sasa kwa kuwabagua na kuwafanyia kila aina ya ubaguzi kuwa eti ndo wanawapelekea New cases, Wanawanyima hoteli, kuingia kwenye supermarkets,Weusi wakipanda mabasi wachina wanashuka. Sasa najiuliza Je sisi wema wetu wa kufungua mipaka kipindi kile umetuletea nini zaidi ya kuhatarisha maisha ya watu wetu?
Msikilize Ummy Mwalimu hapa akiongea
View attachment 1413820
Labda aanze kutuniga mmoja mmoja mpaka kufa live TBC, ila vinginevyo ni chaguo sahihi atatuvusha salamaMagufuli priority yake ni pesa,uhai wa wanyonge wa nchi hii si issue kwake? Sometime huwa najiuliza, tunataka Magufuli afanye kitu gani ndo tujue hstufai
Mkuu huyo aliyekuumba alikupa na akili please itumieVyovyote itakavyokua ila mm najua sikujiumba! Yupo alieniumba na ananijali. Atanipigania kwa kila hali mbaya itakayonikumba
Sasa angefanyaje wakati rais na naibu rais wanatuhimiza tutoke kukapige kazi serikali ipate Kodi? Yaani wakati Kenya mwisho kutembea ikiwa saa moja jioni bongo hapa tunazitaka bank zipige kazi hadi saa mbili usiku ili serikali ikusanye kodiDuh, ina maana huyu waziri hakugundua hilo mapema? afukuzwe kazi imemshinda