Patra31
JF-Expert Member
- Apr 24, 2020
- 6,918
- 13,885
Aisee!? Yan Bei had x5 zaidi ya Bei harisi!?๐๐๐
View attachment 2313723
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Aisee!? Yan Bei had x5 zaidi ya Bei harisi!?๐๐๐
View attachment 2313723
Hakuna wote wanaoanza wanaanzia na D1 kwa degree wakat dactar anaanza na E1 kwa degree na mpaka afikie hiyo kupokea 1.5 daktar aliyeanza nae takuwa anapokea mara 2 yakeUnafikiri hakuna walimu wanaopokea 1.5 milion?
Hata akipokea 10 au 14 kama wazr mbona bado wanaopokea hyo wanakula rushwaaaNdogo Sana lingana na KAZI zao ,lakini pia na masomo yao, Sasa Mbunge anaechukua mil 10 plus ,ni ya nini? alafu wanasiasa hacheni porojo kwa watu Hawa, afya ni idara ambayo hapatakiwi siasa, mpaka mlisha lazimisha watu kujifukiza, yani leo pesa ya madafu 1.5 m ni pesa kweli hacha watupige
Wabunge wapo wangapi na madaktari wapo wangapi??hta kila mbunge akapunguziwa million 5 Kwa mwez ukija kuigawa Kwa madaktari utaona inaongezeka 30000!Mishahara ya wabunge ipunguzwe na waongezewe madaktari
Hao takururu nao wanakula rushwaKuna faida gani ya kua na TAKUKURU?
Hata akipokea 10 au 14 kama wazr mbona bado wanaopokea hyo wanakula rush
๐ฅฒ๐ฅฒ๐ฅฒ๐ฅฒ๐ฅฒ๐ฅฒ๐ฅฒ๐ฅฒ๐ฅฒ๐ฅฒ๐ poleni sana ma Dakitari. Kumbukeni sisi watanzania wanyonge tunawapenda mno, msife moyo iko siku atapatikana mtetezi wenu na hivyo vihela mnavyosimangwa navyo hamtavitamani tena.Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema rushwa katika sekta ya afya imefikia hatua mbaya kwani sasa madaktari wanaombana Rushwa hata wao kwa wao
Waziri Ummy amesema hili halikubaliki kabisa
Aidha Waziri Ummy ameishauri bodi ya Kituo cha moyo cha Jakaya Kikwete kuhamia Mloganzila ambako wanaweza kujenga Hospitali kubwa na ya kisasa zaidi
Chanzo: ITV
Madarakani ni binadamu kama wengine,sio kwamba kila daktari ni msafi.Ametudhalilisha sana sisi madaktari,ngoja aumwe tutampa dose ya UTI huku anaumwa amoeba
Maana yake ni kuwa, Daktari huyu akipiga dili fulani la rushwa huku mwenzie akimwona basi huyo mwenzake naye lazima aombe gawio la rushwa hiyo..!Madaktari wanaombana vipi rushwa wao kwa wao, wanakuwa na shida gani hao jamaa mpaka waombane rushwa?
Sio kosa lako. Ni mwaka uliozaliwa na malezi ya smartphone.Kisu kimeingia kwenye mfupa. UVCCM ni kusanyiko la wadokozi,malaya na wenye kila aina ya tamaa. Nilikudaka kijinga sana kuwa makini next time.
Nilikudaka kiutamu sana...acha tamaa we changu utaumia.Sio kosa lako. Ni mwaka uliozaliwa na malezi ya smartphone.
๐๐๐๐๐
View attachment 2313723
Kumbe ndivyo huwa mnafanya? Mungu anawaonaAmetudhalilisha sana sisi madaktari,ngoja aumwe tutampa dose ya UTI huku anaumwa amoeba
Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema rushwa katika sekta ya afya imefikia hatua mbaya kwani sasa madaktari wanaombana Rushwa hata wao kwa wao
Waziri Ummy amesema hili halikubaliki kabisa
Aidha Waziri Ummy ameishauri bodi ya Kituo cha moyo cha Jakaya Kikwete kuhamia Mloganzila ambako wanaweza kujenga Hospitali kubwa na ya kisasa zaidi
Chanzo: ITV