Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
I blocked you sometime back, I wonder how comes you are able to respond to my thread!Nyie ndio maana huwa mnapuuzwa. Yaani nyie mkishindwa jambo lolote basi utasikia ooh rushwa, ooh mahakama hazitendi haki, oo tatizo katiba..
Duh..!!Kwani madaktari hawaugui?
Chadema ni waoga wa hojaI blocked you sometime back, I wonder how comes you are able to respond to my thread!
Sema Posho za Wabunge ndio zipunguzweMishahara ya wabunge ipunguzwe na waongezewe madaktari
Madaktari wanaombana vipi rushwa wao kwa wao, wanakuwa na shida gani hao jamaa mpaka waombane rushwa?
Ndogo Sana lingana na KAZI zao ,lakini pia na masomo yao, Sasa Mbunge anaechukua mil 10 plus ,ni ya nini? alafu wanasiasa hacheni porojo kwa watu Hawa, afya ni idara ambayo hapatakiwi siasa, mpaka mlisha lazimisha watu kujifukiza, yani leo pesa ya madafu 1.5 m ni pesa kweli hacha watupigeKinachomfanya mtu apokee rushwa sio mshahara mdogob n kukosa utu na tamaa et milion1 .5 ndogo na walimu jee wasemeje na manese na tangu ln mshahara ukatosha
Hahaha........!Hiyo inaitwa mbwa kala mbwa
Baada ya makato ya loan board, TRA nk hufika laki 8. So maybe wana njaa tu kama wengine.Kinachomfanya mtu apokee rushwa sio mshahara mdogob n kukosa utu na tamaa et milion1 .5 ndogo na walimu jee wasemeje na manese na tangu ln mshahara ukatosha
Unafikiri hakuna walimu wanaopokea 1.5 milion?Kinachomfanya mtu apokee rushwa sio mshahara mdogob n kukosa utu na tamaa et milion1 .5 ndogo na walimu jee wasemeje na manese na tangu ln mshahara ukatosha
Kila siku huwa nasema Mshahara ni hela ya chumvi yakukufanya ule wewe na watoto wako basi! Kwa maisha ya kibongo angalau mtu unaweza kusema anapokea hela nzuri milioni 4! Ila hizi laki tano mpaka million 3 wote hawa ni kundi moja maana kadri mshahara unavyoongezeka matumizi yanaongezeka na ulimbukeni wa wabongo unaosababishwa na kutokuwa na elimu na nidhamu ya fedha husababisha watu kuwa na full mikopo!Baada ya makato ya loan board, TRA nk hufika laki 8. So maybe wana njaa tu kama wengine.
Aisee dont block me again. Maana kipindi chote ulichoniblock nilipoteza ajira, maisha yalinigonga kila mahali.I blocked you sometime back, I wonder how comes you are able to respond to my thread!
Hiyo sababu aliyotoa haina mashiko.Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema rushwa katika sekta ya afya imefikia hatua mbaya kwani sasa madaktari wanaombana Rushwa hata wao kwa wao
Waziri Ummy amesema hili halikubaliki kabisa
Aidha Waziri Ummy ameishauri bodi ya Kituo cha moyo cha Jakaya Kikwete kuhamia Mloganzila ambako wanaweza kujenga Hospitali kubwa na ya kisasa zaidi
Chanzo: ITV
Maneno yako tu unaoneka we ni generation Z. Kizazi cha mwisho cha dunia kabla haijateketezwa kabisa kwa hasira ya Mungu.Hicho kimalaya siku moja nikakiwekea mtego kikajaa... kilikuja zile wigi za kariakoo zilizokaa kama katani huku make up ikimchuruzika kwa jua kali alipokua anatembea... nilimdanganyia kitu kidogo sana kuwa nipo CCM HQ na ningempa kazi fulani na pesa... ni vidada vya hovyo hovyo vinatumika vibaya sana.
Kisu kimeingia kwenye mfupa. UVCCM ni kusanyiko la wadokozi,malaya na wenye kila aina ya tamaa. Nilikudaka kijinga sana kuwa makini next time.Maneno yako tu unaoneka we ni generation Z. Kizazi cha mwisho cha dunia kabla haijateketezwa kabisa kwa hasira ya Mungu.