Waziri Ummy: Rushwa sekta ya afya inatisha imefika hatua Daktari anamuomba rushwa Daktari mwenzake. Nashauri JKCI ihamie Mloganzila

Waziri Ummy: Rushwa sekta ya afya inatisha imefika hatua Daktari anamuomba rushwa Daktari mwenzake. Nashauri JKCI ihamie Mloganzila

Kinachomfanya mtu apokee rushwa sio mshahara mdogob n kukosa utu na tamaa et milion1 .5 ndogo na walimu jee wasemeje na manese na tangu ln mshahara ukatosha
Ndogo Sana lingana na KAZI zao ,lakini pia na masomo yao, Sasa Mbunge anaechukua mil 10 plus ,ni ya nini? alafu wanasiasa hacheni porojo kwa watu Hawa, afya ni idara ambayo hapatakiwi siasa, mpaka mlisha lazimisha watu kujifukiza, yani leo pesa ya madafu 1.5 m ni pesa kweli hacha watupige
 
Kinachomfanya mtu apokee rushwa sio mshahara mdogob n kukosa utu na tamaa et milion1 .5 ndogo na walimu jee wasemeje na manese na tangu ln mshahara ukatosha
Baada ya makato ya loan board, TRA nk hufika laki 8. So maybe wana njaa tu kama wengine.
 
Unganisha MOI na muhimbili tupate hospitali ya taifa yenye vitengo vyote.mbona nyie watawala wa sasa ufahamu umewatoka?hata mbunge anashindwa kujua hospitali ya taifa haina vitengo vingi.
 
Baada ya makato ya loan board, TRA nk hufika laki 8. So maybe wana njaa tu kama wengine.
Kila siku huwa nasema Mshahara ni hela ya chumvi yakukufanya ule wewe na watoto wako basi! Kwa maisha ya kibongo angalau mtu unaweza kusema anapokea hela nzuri milioni 4! Ila hizi laki tano mpaka million 3 wote hawa ni kundi moja maana kadri mshahara unavyoongezeka matumizi yanaongezeka na ulimbukeni wa wabongo unaosababishwa na kutokuwa na elimu na nidhamu ya fedha husababisha watu kuwa na full mikopo!
 
I blocked you sometime back, I wonder how comes you are able to respond to my thread!
Aisee dont block me again. Maana kipindi chote ulichoniblock nilipoteza ajira, maisha yalinigonga kila mahali.
 
Waziri wa Afya Ummy Mwalimu amesema rushwa katika sekta ya afya imefikia hatua mbaya kwani sasa madaktari wanaombana Rushwa hata wao kwa wao

Waziri Ummy amesema hili halikubaliki kabisa

Aidha Waziri Ummy ameishauri bodi ya Kituo cha moyo cha Jakaya Kikwete kuhamia Mloganzila ambako wanaweza kujenga Hospitali kubwa na ya kisasa zaidi

Chanzo: ITV
Hiyo sababu aliyotoa haina mashiko.
 
Hicho kimalaya siku moja nikakiwekea mtego kikajaa... kilikuja zile wigi za kariakoo zilizokaa kama katani huku make up ikimchuruzika kwa jua kali alipokua anatembea... nilimdanganyia kitu kidogo sana kuwa nipo CCM HQ na ningempa kazi fulani na pesa... ni vidada vya hovyo hovyo vinatumika vibaya sana.
Maneno yako tu unaoneka we ni generation Z. Kizazi cha mwisho cha dunia kabla haijateketezwa kabisa kwa hasira ya Mungu.
 
Maneno yako tu unaoneka we ni generation Z. Kizazi cha mwisho cha dunia kabla haijateketezwa kabisa kwa hasira ya Mungu.
Kisu kimeingia kwenye mfupa. UVCCM ni kusanyiko la wadokozi,malaya na wenye kila aina ya tamaa. Nilikudaka kijinga sana kuwa makini next time.
 
Back
Top Bottom