Faana
JF-Expert Member
- Dec 12, 2011
- 38,657
- 44,759
Upo sahihi kabisa,Madaktar wanafanya kaz kubwa mno nchi hii ambayo huwes tegea hata sku1 ial wanamishahara duni sana compared na hao wanasiasa
- Mtu darasa la saba anashinda anagonga meza, hakai ofisini masaa yote, ati kwakuwa tu ni mhe analipwa 11Mil,
- Dakitari, Mwl, Askari wanaokimbizana na uhai wa taifa wanachezewa wanalipwa posho ya mbunge ya siku moja.
- Ifike wakati sasa wabunge wapunguzwe, wawe sawa kwa idadi na RCs na wafanye kazi full time, fedha inayookolewa huko ipelekwe kwa madakitari, walimu na askari