one b
JF-Expert Member
- Jun 30, 2017
- 1,483
- 3,727
Yaan viongozi hovyo kabisaaa...wapige marufuku matumiz ya pombe tuone....yaan hakuna aliye salama kwa hili...yaani pombe fake zinafyatuliwa sio poa...ziwe za bei ndogo au za gharama zinafyatuliwa haswa...tena wahindi ndio wanaongoza kufyatua...kwa Arusha ndio usiseme viwanda vidogo vipo mageton yaan hizi nyagi zinafyatuliwa haswa...k vant ndio usiseme...hennessy Jgr mstr...yaan ni mwendo wa kufyatuliwa...
Tukubaliane...viongoz wanatamqn vijanw wapotee ili wazidi kujinufaisha...yaan kwa kifupi changanya na zako lakin ukwel tunafaham...Tatizo ni mfumo...hivi duniani Tanzania inaongoza kwa unywaj wa pombe. Maana yake kodi kupitia pombe ni kubwa hawajui wafanye nin