Waziri Ummy: Tanzania yawa miongoni mwa nchi zilizoongoza duniani kwa unywaji wa pombe kali kwa Vijana Umri kati ya Miaka 15-19

Waziri Ummy: Tanzania yawa miongoni mwa nchi zilizoongoza duniani kwa unywaji wa pombe kali kwa Vijana Umri kati ya Miaka 15-19

Si vibaya serikali ikaingilia kati kukataza uuzwaji wa haya mapombe makali ili kuepusha shida kwa vijana wetu
Matatizo ya figo kwa wananchi yanaongezeka.
Kulinda afya za wananchi ni jambo jema
Zibakie Serengeti tu na Kilimanjaro ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿคฃ
 
Mbaga Jr ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚ ๐Ÿ˜‚
Ulizingua nini wewe daaaah oyaa weeeeh lucas alipoa ๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚๐Ÿ˜‚
Et udhalilishaji ๐Ÿ˜‚

Screenshot_20240518-082819.png
 
Back
Top Bottom