Waziri Ummy: Tanzania yawa miongoni mwa nchi zilizoongoza duniani kwa unywaji wa pombe kali kwa Vijana Umri kati ya Miaka 15-19

Yaan viongozi hovyo kabisaaa...wapige marufuku matumiz ya pombe tuone....yaan hakuna aliye salama kwa hili...yaani pombe fake zinafyatuliwa sio poa...ziwe za bei ndogo au za gharama zinafyatuliwa haswa...tena wahindi ndio wanaongoza kufyatua...kwa Arusha ndio usiseme viwanda vidogo vipo mageton yaan hizi nyagi zinafyatuliwa haswa...k vant ndio usiseme...hennessy Jgr mstr...yaan ni mwendo wa kufyatuliwa...


Tukubaliane...viongoz wanatamqn vijanw wapotee ili wazidi kujinufaisha...yaan kwa kifupi changanya na zako lakin ukwel tunafaham...Tatizo ni mfumo...hivi duniani Tanzania inaongoza kwa unywaj wa pombe. Maana yake kodi kupitia pombe ni kubwa hawajui wafanye nin
 
Hizi data wanazipataga wapi?
 
Leo umejua kama najua kuandika kiswahili fasaha kuzidi bi Faiza?

Juzi nilipoandika "CCM mbere kwa mbere" ukaniahukia kama mwewe,bial kujua muktadha wa nilichokusudia.
Kudadeq! Sasa mwenzako nakumbuka hataa? Id yako ndo kwanza naiona leo
Naomba unisamehe kama nilikuudhi mkuu
 
Wapiga kura wetu ndo hawa wametengenezwa ili wajadili mpira
Ngono na mwisho wajipoze na pombe.

Huwa nikitazama vijana na wazee wanavyokuja hapa muhimbili kwa ajili ya pombe I feel the pain .
 
Ongeza na nondo hizi
Your browser is not able to display this video.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…