Ni bora nirudi kuliko unipoteze mkuuππBora umerudia nguo ya Zamani!
Hapo sawaπNi bora nirudi kuliko unipoteze mkuuππ
Unauliza WHO wanapata wapi data Seriously kabisa??Hizi data wanazipataga wapi?
Ulijuaje nyama ziwe nyingi nyingi na kachumvi kwa mbali πKaka yako Mzee wa kupambania mbususu, ni mlevi alaf anapenda ma phantom π
Wazinzi mnajulikana tu πUlijuaje nyama ziwe nyingi nyingi na kachumvi kwa mbali π
Mbaga na wewe umechezea blok kizembe ahahahaKwa hapa aisee nakubali π
Sasa waliofanya nile kitofali nawapa taarifa tuu kuwa NIMERUDIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIMbaga na wewe umechezea blok kizembe ahahaha
Mbaga Jr π π π π π πSasa waliofanya nile kitofali nawapa taarifa tuu kuwa NIMERUDIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIIII
ππππππ Huyo jamaa mbna yeye achezeagi ban
Jamaa anatukana ila yeye akigeuziwa anashtaki.ππππππ Huyo jamaa mbna yeye achezeagi ban
Na wewe mwanangu kuna mda kama unakulaga mjani hivi πππ
Jamaa anatabia za kishamba sana.ππππππJamaa anatukana ila yeye akigeuziwa anashtaki.
Ah Mm mpole bhana π
Mjani nmeacha mzee wangu πJamaa anatabia za kishamba sana.ππππππ
Sema hiyo siku ulikula mjani kaka
Ila kwa mda ulio kaa cello ushajifunza kitu si et πππππMjani nmeacha mzee wangu π
Ndio mkuu ila mwendo n ule ule hakuna kupoa πIla kwa mda ulio kaa cello ushajifunza kitu si et πππππ
Oyaa kuna mpya gani huko mtaani πππNdio mkuu ila mwendo n ule ule hakuna kupoa π
Ah hakuna jipya, mm jobless niko nimelala tuu sijui yanayoendelea huko dunianiOyaa kuna mpya gani huko mtaani πππ
Jobless pro max....Ah hakuna jipya, mm jobless niko nimelala tuu sijui yanayoendelea huko duniani