Every medical personnel wants to be a doctor?...Stop this nonsense aisee.
Ndugu madaktari,
Tunaacknowledge changamoto mnayopitia hasa kwenye suala la ajira na maslahi ukizingatia ongezeko kubwa la wahitimu wenye shahada ya udaktari ukilinganisha na fursa za ajira zilizopo.
Kitu kinachoendelea sasa hivi ni harakati za makusudi za kada husika kujikwamua kutoka katika lindi la unemployment. Tunaelewa wenzenu wafamasia wanapata fursa adhimu ya kusimamia utolewaji wa huduma za kifamasia kwenye mafamasi hivyo huwasaidia hata kama hawana ajira rasmi.
Hivyo basi, vita yenu imejikita katika kuwapoka/kuwanyang'anya fursa wenzenu badala ya kufikiria namna ya kucreate ya kwenu kulingana na taaluma yenu. Nitatoa mifano michache;-
In view of the above, nadhani ndugu zangu madaktari, ifike wakati muhamishe target ya kusolve hili suala lenu kutoka kuwanyang'anya wafamasia fursa yao kwenda kwenye kutengeneza fursa yenu wenyewe.
- Kwanini tusiangalie fursa zilizopo kwenye hizi outlest za kutolea huduma za afya kama zahanati na polyclinics tukawainfluence watunga sheria na tukaweka sheria itakayohakikisha sisi ndio tunasimamia hizi facilities?
- Kwanini tusijikite kwenye kuhakikisha hizi shule za kutolea elimu ya utabibu kwa lower cadres zinahitaji some kind of monitoring or supervision na hii iwe by us?
Nawasilisha kwa mjadala.
Wafamasia hawana shida, wanafanya majukumu yao bila kuingilia ya wengine. Tatizo ni hawa madaktari kujifunya wanajua kila kitu cha kada nyingine na kutaka kuingilia majukumu yasiyo yao.
Utakuta Daktari anamuandikia mgonjwa dawa kwa kiasi fulani cha dose lakini hajui namna hiyo dose inaweza kutengenezwaje endapo dawa iliyopo ina dose kubwa.
Mkuu wewe ndio unaelewa tatizo la Madaktari na hili ndio tatizo lenyewe.Ndugu madaktari,
Tunaacknowledge changamoto mnayopitia hasa kwenye suala la ajira na maslahi ukizingatia ongezeko kubwa la wahitimu wenye shahada ya udaktari ukilinganisha na fursa za ajira zilizopo.
Kitu kinachoendelea sasa hivi ni harakati za makusudi za kada husika kujikwamua kutoka katika lindi la unemployment. Tunaelewa wenzenu wafamasia wanapata fursa adhimu ya kusimamia utolewaji wa huduma za kifamasia kwenye mafamasi hivyo huwasaidia hata kama hawana ajira rasmi.
Hivyo basi, vita yenu imejikita katika kuwapoka/kuwanyang'anya fursa wenzenu badala ya kufikiria namna ya kucreate ya kwenu kulingana na taaluma yenu. Nitatoa mifano michache;-
In view of the above, nadhani ndugu zangu madaktari, ifike wakati muhamishe target ya kusolve hili suala lenu kutoka kuwanyang'anya wafamasia fursa yao kwenda kwenye kutengeneza fursa yenu wenyewe.
- Kwanini tusiangalie fursa zilizopo kwenye hizi outlest za kutolea huduma za afya kama zahanati na polyclinics tukawainfluence watunga sheria na tukaweka sheria itakayohakikisha sisi ndio tunasimamia hizi facilities?
- Kwanini tusijikite kwenye kuhakikisha hizi shule za kutolea elimu ya utabibu kwa lower cadres zinahitaji some kind of monitoring or supervision na hii iwe by us?
Nawasilisha kwa mjadala.
Daktari anataka Asimamie Famasii.. Afungue Duka la dawaa bila kuwa na Cheti cha mfamasiaaa yani HICHO NDO WANACHOTAKA.Yaah..ila sidhan kama anahaja ya kujua dozi inatengenezwaje sio issue kwake ye katoa dawa na mfamasia achanganye dawa kwa taratibu zake then ampe mgonjwa the recommended dose basi..tatizo la baadhi ya wafamasia wanaona kua Dr kazi yake ni ku diagnose then mfamasia atoe dawa..!yani anaona kama Dr hatakiw kuandika prescription which is wrong..nishapita pita ughaibuni huwez pewa
Dawa kwenye pharmacy bila prescription ya Dr au authorized clinician kutegemea na tatizo ni STRICTLY huwezi kutoa dawa bila prescription ya Dr kama kuna walakini kuna form unajaza kuelezea sababu za kutokutoa dawa na inakubalika
kwani hospital za vijiji wanafanyaje si ndio kama hivi unakuta kituokina tabibu mmoja na yeye anafanya haya yote pamoja na kuzalishaHili swala ni kwa maslahi binafsi naona…. Mgawanyo wa majukumu upo wazi kabisa,,, daktari atamuona mgonjwa, mgonjwa ataenda kuchukua dawa famasi(mfamasia) kisha mgonjwa atapatiwa dawa chini ya usimamizi wa manesi….. sasa nyinyi mnataka kazi zote za hospital mfanye nyinyi? Mbona hamuongelei ultrasound , x rays na lab investigation ? Kwanini huwa mnaoder vipimo hakapime mtu mwingine hamjasomea lab nyinyi semister nzima? Tufanye mzunguke na mgonjwa basi… anza naye chumba cha consultation, nenda ukampime, urudi umwandikie dawa na uende naye diapensing ukampe dawa……
we jamaaa nimekufatilia kwenye huu mjadala maoni yako ni mepesi sana,mifano yako ni irelevant uko shallow sana.Kwamba mtu mwenye malaria kwa dalili zake inahitaji Degree kujua na kuwa huyu ana malaria??? Mtu anakuja na flu unataka aende Laboratory kupimwa kama ana mafua??? Physical examination ni suala ambalo anaweza kufanya kila mtuu yani usijione special kumuandikia Carbimazole mtu mwenye Goitre labda uniambie Suala la oparations ila sio Kuandika mtu afanyiwe vipimo flani ili kuconfirm Ugonjwa wake then Ujione special... Dr hajui mtu anaumwa nini ila anajua dalili na Maabara ndio wanathibitisha mtu anaumwaa nini sasa ukiona umeweza kujua anaumwa nini mfamasia hashindwi kujua.. Kingine kuchoma sindano jambo dogo sana kijanaa yani hata teja anajichomaaa..
[emoji1][emoji1][emoji1]Rasmi nimejiridhisha wewe sio mfamasia ni fundi sanifu wa dawa chief pia bado ni kijanaMkuu majibu ya Glucose level si chap kwa haraka sas insulin unayo... una NS fluid ipo why usianze management chap!! Maana hyperglacemia na dehydration zinaenda sambambaa...
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Kijana maoni yako ni mazito sanaa kichwani umejaza madini sana.we jamaaa nimekufatilia kwenye huu mjadala maoni yako ni mepesi sana,mifano yako ni irelevant uko shallow sana.
Kaka me dispenser unanioneaa..[emoji1][emoji1][emoji1]Rasmi nimejiridhisha wewe sio mfamasia ni fundi sanifu wa dawa chief pia bado ni kijana
Kazi ili iwe sahihi lazima kuwe na mgawanyo wa majukumu....Kufanya kila kitu haina maana ndiyo inavyotakiwa na ndio maana bado huduma za afya nchi yetu zipo chini...na makosa ni mengi pia..! Ifike kipindi tuone umuhimu wa mgawanyo wa majukumu ndiyo tutapata matokeo mazuri zaidi...kuliko hii mtu mmoja kufanya kila kitu yeye!kwani hospital za vijiji wanafanyaje si ndio kama hivi unakuta kituokina tabibu mmoja na yeye anafanya haya yote pamoja na kuzalisha
And good thing ni kwamba vijana wanazalishwa wengi sana kutoka vyuoni kwa sasa tofauti na zamani.Kazi ili iwe sahihi lazima kuwe na mgawanyo wa majukumu....Kufanya kila kitu haina maana ndiyo inavyotakiwa na ndio maana bado huduma za afya nchi yetu zipo chini...na makosa ni mengi pia..! Ifike kipindi tuone umuhimu wa mgawanyo wa majukumu ndiyo tutapata matokeo mazuri zaidi...kuliko hii mtu mmoja kufanya kila kitu yeye!
Kudiagnose mfamasia pia anaweza ingawa anazidiwa na Daktari ambaye yupo, wale wa mchongo anazidiwa pia na mfamasia ambaye yupo deep. Diagnosis ndio jukumu kubwa na Daktari, Mfamasia hajawahi kulalamika hapa maana sio jukumu lake ingawa anaweza.tatizo la baadhi ya wafamasia wanaona kua Dr kazi yake ni ku diagnose then mfamasia atoe dawa..!yani anaona kama Dr hatakiw kuandika prescription which is wrong
Hao wanafuata sheria zao walizojipangia ndio maana unaona ni tofauti na huku ambapo dawa zinatolewa hata kama zinahitaji cheti cha daktarinishapita pita ughaibuni huwez pewa
Dawa kwenye pharmacy bila prescription ya Dr au authorized clinician kutegemea na tatizo ni STRICTLY huwezi kutoa dawa bila prescription ya Dr kama kuna walakini kuna form unajaza kuelezea sababu za kutokutoa dawa na inakubalika
Hongera,japo mie sie mtu wa kada ya afya bali ni Accountant,nimekuwa impressed na majibu yake yasiyo na mihemko na yanayofocus professionalism.The bottom line ni kuwa ni Muhimu kila mtu kuheshimu taaluma husika kila mtu afanye alichobobea,ili hata akipuyanga iwe possible kum-hold accountableIpo hivi ndugu yangu...Miongozo hadi sasa kwenye upande wa Community Pharmacy na DLDM..........Community Pharmacy inahitaji Pharmaceutical Personels tuu. Lakini DLDM ndo serikali ilitoa fursa kwa other medical personels kukabiliana na upungugu mfano; Daktari,Tabibu,Muuguzi kama anataka kuhusika kwenye DLDM basi lazima asome short course ya ADDO.Na sio kwamba mtu yeyote asie na background ya afya anasoma ADDO.!!... kama mtu baki anataka kumiliki basi atapewa mafunzo ya Umiliki wa ADDO...na kuajiri mtaalam wa afya mwenye addo au mwenye kozi za Pharmacy level ya Diploma hadi Certificate.
Swali lako sasa..:::Kwani Daktari anashindwa??...kwanza inabidi ujue hakuna kazi ngumu Duniani ni suala la kuelekezwa ,kuzoea na kufanya...na ndio maana mtu yeyote akifundishwa kuchoma Sindano anachoma vizuri tuu..Mind you kuna Madaktari walitumbuliwa walikuwa wamegushi vyeti....lakini kwan kazi walikuwa hawafanyi??? Ukizoea(Experience) kazi yeyote unafanya
Suala linakuja kwenye UFANISI....(jicho la kitaalam)...unavyohudumu ni je kwa asilimia kubwa ni sahihi?? Hakuna changamoto zozote zinaweza kujitokeza??Jambo gani lifanyike na lisifanyike kipindi Mgonjwa anaanza kutumia dawa??..hapa ndio Utaona gap la kitaaluma lililopo...reasoning why iwe hivi na sio hivi......!! Tatizo pia ni kwamba Layman au mtu asie na ujuzi ataona rahisi tuu kuandika 2 ×3 kakariri....kumbe inaweza ikawa hata 3 × 2...!! Hii kureason ndo suala linabaki kwa wafamasia..kuna watu wa organ failure,huwez hudumia mtu perfect na mwenye tatizo katika Namna sawa sababu na ufanisi wa mwili sio sawa.....!! Why dawa hii usinywe maziwa dawa hii unywe..why dawa hii usipige pombe dawa hii baada ya muda fualn unywe....why dawa hii na hii Hapana..""Na huo ndio Ufanisi wa kazi sasa"" ndo unaleta Specialization...na kusema kila mtu afanye alichosoma kwa usahihi...Nurse hawez kuwa daktari,Mfamasia hawezi kuwa daktari, mtaalam wa maabara hawez kuwa daktari and Vice Versa....sababu hasa ""Reasoning yao tofauti""
Ukitaka kujua haya mambo ya mgawanyo wa kimajukumu kwa kada zetu za afya yalivyokuwa changamoto, angalia Taasisi kubwa kama MSD kila siku malalamiko ufanisi wake ni mdogo.And good thing ni kwamba vijana wanazalishwa wengi sana kutoka vyuoni kwa sasa tofauti na zamani.
Kila mtu akae eneo lake ili kazi ifanyike vizuri kama inavyostahili kufanyika.
Unataka na Muhimbili afanye hivyo?kwani hospital za vijiji wanafanyaje si ndio kama hivi unakuta kituokina tabibu mmoja na yeye anafanya haya yote pamoja na kuzalisha
Hapo wamezingua..naona njaa ndio inawasumbua sana..sasa wanataka kupoka kila fursa ndani ya kada za afya..absurdDaktari anataka Asimamie Famasii.. Afungue Duka la dawaa bila kuwa na Cheti cha mfamasiaaa yani HICHO NDO WANACHOTAKA.
Nahisi ulisoma kwa kujiandaa kuingia mitaani kuanzisha duka la dawa. Sasa hapa unakomaa, kufa-kufufuka ili usiambiwe hiyo haitoshi. Komaa shingo lakini ukweli unabaki hapo hapo; Acha kushinda dukani ukisubili prescription. Ingia maabara, ongeza ubora wa madawa. Shirikiana na watu wa microbiology, tengeneza vaccines; COVID-19 bado inasumbua, Trypanosomiasis bado haina tiba ya amani, n.k.Hujui kitu. Ungejua famasia usingeonyesha ujinga wote huu unaouonyesha hapa.
Kemia ya madawa uliijulia wapi kama hujawahi kukaa darasani wanakofunzwa famasia, kwa sababu haifundishwi kwingine kokote.
Kazi ya Famasia siyo kutengeneza madawa pekee. Inaonekana hata hili hulijui.
Hivyo vyumba vya madawa ni Pharmacy, mradi pawe na dawa na vikidhi mahitaji ya kuwekea dawa, bila kujali ukubwa wake au sifa nyingine yoyote.
Mahali popote panapokuwa na dawa, sheria inasema ni lazima pawe chini ya uangalizi wa Famasia, na hiyo siyo sheria ya Tanzania pekee, ni duniani kote.
Mimi simshushii hadhi yake, anaishusha mwenyewe kwa maandishi ambayo yanaonyesha dhahiri kwamba hajui anachokiandika.Busara ingekuelekeza kujibu hoja badala ya kumshambulia kibinafsi. Nakushauri shambulia hoja yake kwa kuonesha yalipo mapungufu ya hoja yake bila kutafuta namna ya kumshusha hadhi yake.
Kaa na hisia zako, haziniongezei wala kunipunguzia chochote.Nahisi ulisoma kwa kujiandaa kuingia mitaani kuanzisha duka la dawa. Sasa hapa unakomaa, kufa-kufufuka ili usiambiwe hiyo haitoshi. Komaa shingo lakini ukweli unabaki hapo hapo; Acha kushinda dukani ukisubili prescription. Ingia maabara, ongeza ubora wa madawa. Shirikiana na watu wa microbiology, tengeneza vaccines; COVID-19 bado inasumbua, Trypanosomiasis bado haina tiba ya amani, n.k.
Madaktari, tena wengine ni professors nao wajiongeze siyo kushinda kwenye 'vioski' vya upanga na mitaa mingine wakikusanya elfu 10 za consultation. Hospitali hawakai, hawana uwezo wa kutibu nje ya yale waliyofundishwa darasani. Hakuna ubunifu ktk tiba zetu. Ndo maana nimeandika mwanzoni kwamba Wizara ya afya ni tatizo na ushenzi tu! Imejaa watu wa aina yako, na mashindano ya ndani kwa ndani; Ooh, Nesi hawezi, daktari hawezi, mfamasia hawezi..... rubbish!