Waziri Ummy, Usipotoshwe maamuzi yako kuhusu ADDO na wafamasia mtawaumiza Watanzania

Waziri Ummy, Usipotoshwe maamuzi yako kuhusu ADDO na wafamasia mtawaumiza Watanzania

dah kama MD wote mpo kama bwana kaboko ninapata wasiwasi sana na elimu yenu ya darasani mimi najitolea kama huyu MD au profesa Kaboko MD atapata kuanzia 20% ya mtihani wa pharmaceutical calculation and compounding nampatia 3,000,000/= ya usumbuf na mm tarudisha leseni yang ya kazi baraza la famasia na nitaomba kufutwa kwenye register ya wafamasia Tanzania, kwasababu sio tu ameonyesha ujinga wake hadharani lakini pia ametukosea heshima wafamasia wote duniani. ni wazi sasa MD wengi hawajui scope ya mfamasia ni nini lakn pia huenda sio kosa lao labda mfumo wa serikali pia kwenye taaluma ya wafamasia hauko vzur hvyo umewablind hawa MD wafikil pharmacist ni dispenser au mshindo store, naombeni wafamasia wenzangu mumchukue dokta Kaboko mumpe tour pale zenufa, shelly, TMDA, MSD, DCEA, health training institutions, NIMR, alaf mwsho mpitishen aone infusion mbalimbali ambazo yeye anaandka tu mgonjwa znavotengenezwa kwenye hz referal hospitals..alaf mwsho akiwa tayar nimtumie errors wanzoandka kwenye prescription kila siku mpk unajiuliza huyu kwel alikaa darasan miaka mi5 maana makosa ya kijanga kila sku ya dawa za kawaida kabisa wakuta MD kakalili brand name za dawa tu na alizokall hzo ndo kila sku anaprescribe hzo tu alaf leo anajiona anajua dawa DAMNNNNN, anyway ninatambua pia kuna MD wanaojielewa na wanatambua scope zao vzr na tunashare malengo pamoja ya kuokoa maisha ya binadamu BiG respect to them
 
So unataka MD awe anaprescribe dawa na kudispense dawa?

Ndio, kuna mazingira anaweza kuruhusiwa kwa sababu anamudu vizuri tu, mfano kama kijana akijiajiri kwa duka la dawa au farmas.
 
Sheria huangaliwa upya na kubadilishwa, Sheria zisizo na tija zinaweza kubadilishwa kwa masilahi ya taifa
Hayo hayatakuwa maslahi ya taifa, bali maslahi ya kikundi cha wanufaika wachache kwa madhara ya wengi.

Hii sheria unayoizungumzia hapa haipo Tanzania pekee, ni duniani kote.
Usijifanye ukilaza ulionao ndio iliyonayo Tanzania nzima.
 
kwenye prescription kila siku mpk unajiuliza huyu kwel alikaa darasan miaka mi5 maana makosa ya kijanga kila sku ya dawa za kawaida kabisa wakuta MD kakalili brand name za dawa tu na alizokall hzo ndo kila sku anaprescribe hzo tu alaf leo anajiona anajua dawa DAMNNNNN, anyway ninatambua pia kuna MD wanaojielewa na wanatambua scope zao vzr na tunashare malengo pamoja ya kuokoa maisha ya binadamu BiG respect to them
Prof. Kobello (Prof. Feki), yeye kama yeye, angekuwa kweli ni Prof. wa Anatomy kama anavyojitambulisha hapa, hana 'privileges' za ku'prescribe' aina nyingi tu ya dawa asizokuwa na ufahamu nazo, na wala hazihusiani na 'specialty' yake ya 'Anatomy.

Sasa anadai apewe uwezo wa kuendesha Famasi, ili awe na uwezo wa ku'prescribe' kila aina ya dawa? Hana utaalam wa 'cardiology'; endocrinology, hajui 'gynecology', n.k., n.k..

Kama siyo ujuha huo tuuite kitu gani?
 
Ahahahah wafamasia ujuaji mwingi sana.
Kama tu uwezo hata wa kutake history ukatoa diagnosis na DDx zake sasa utaprescribe nini?

Wao wakae dirishani watoe dawa kulingana na prescription pia wasisahau kuwasha friji ili dawa zitunzwe vizuri na MSD wakileta dawa wasisahau kuvaa shati nyeusi wakashushe mabox ya dawa.
Sidhani kuwa wewe ni graduate wa MD. Sana sana unaweza ukawa hawa vijana wa Clinical Officers, tena aliyemaliza hivi juzi juzi.
Ni kama kijana anayebarehe,karibuni, bado anayo maluweluwe mengi na hali yake mpya!
 
Sidhani kuwa wewe ni graduate wa MD. Sana sana unaweza ukawa hawa vijana wa Clinical Officers, tena aliyemaliza hivi juzi juzi.
Ni kama kijana anayebarehe,karibuni, bado anayo maluweluwe mengi na hali yake mpya!
Sawa.
 
Back
Top Bottom