Despacito
Member
- Sep 18, 2017
- 77
- 160
dah kama MD wote mpo kama bwana kaboko ninapata wasiwasi sana na elimu yenu ya darasani mimi najitolea kama huyu MD au profesa Kaboko MD atapata kuanzia 20% ya mtihani wa pharmaceutical calculation and compounding nampatia 3,000,000/= ya usumbuf na mm tarudisha leseni yang ya kazi baraza la famasia na nitaomba kufutwa kwenye register ya wafamasia Tanzania, kwasababu sio tu ameonyesha ujinga wake hadharani lakini pia ametukosea heshima wafamasia wote duniani. ni wazi sasa MD wengi hawajui scope ya mfamasia ni nini lakn pia huenda sio kosa lao labda mfumo wa serikali pia kwenye taaluma ya wafamasia hauko vzur hvyo umewablind hawa MD wafikil pharmacist ni dispenser au mshindo store, naombeni wafamasia wenzangu mumchukue dokta Kaboko mumpe tour pale zenufa, shelly, TMDA, MSD, DCEA, health training institutions, NIMR, alaf mwsho mpitishen aone infusion mbalimbali ambazo yeye anaandka tu mgonjwa znavotengenezwa kwenye hz referal hospitals..alaf mwsho akiwa tayar nimtumie errors wanzoandka kwenye prescription kila siku mpk unajiuliza huyu kwel alikaa darasan miaka mi5 maana makosa ya kijanga kila sku ya dawa za kawaida kabisa wakuta MD kakalili brand name za dawa tu na alizokall hzo ndo kila sku anaprescribe hzo tu alaf leo anajiona anajua dawa DAMNNNNN, anyway ninatambua pia kuna MD wanaojielewa na wanatambua scope zao vzr na tunashare malengo pamoja ya kuokoa maisha ya binadamu BiG respect to them