Waziri Uweso akisherehekea birthday yake nyumbani kwa JK hapa New York, Marekani

Waziri Uweso akisherehekea birthday yake nyumbani kwa JK hapa New York, Marekani

Mbowe amewahi kuwa Rais wa nchi hii wewe phunga? Amewahi kuwa na mamlaka ya kukusanya kodi zetu na kuzipangia matumizi atakavyo?

Mbowe inajulikana wazi hadi kwa mtoto mdogo kwamba ni mfanyabiashara mkubwa, ni bilionea yule. Kikwete anafanya biashara gani? Kwanini anafanya hizo biashara zake (kama zipo) kwa KUJIFICHA FICHA?
Lakini mbowe ana mamlaka ya kupokea ruzuku ambazo zimetokana na Kodi zetu pamaja ni michango mingine ya wanachama

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Nimesoma comments zote hadi page ya 4 nimegundua wengi hapa wana chuki na hasira kali sana zinazosababishwa na umaskini wao na familia zao. Mh Jakaya kwa sasa ana vyeo vikubwa sana kidunia kwa mfano mojawapo ya cheo chake kwa sasa ni mwenyekiti wa bodi ya wakurugenzi ya Global Partner for education na hata juzi niliona katoa tamko kulaani vitendo vya Taleban kuzuia watoto wa kike kupata elimu. JK ana vyeo vingine huko UN hali inayomlazimu kuwepo nchini Marekani mara nyingi sana. Kwa hadhi yake ni lazima UN wangempatia tu nyumba endapo JK angeona sio poa kukaa five star hotel kila mara. Hata mimi ningechagua kuwa na nyumba ndani ya New York kuliko Five Star Hotel.

Hata tuki-assume kwamba nyumba ni yake kajenga au kanunua pia JK asingeshindwa kufanya hivyo. Mtu alikuwa waziri wa fedha enzi za mwinyi na akaja kuwa waziri wa mambo ya nchi za nje kwa miaka 10 atashindwaje kununua nyumba? Isitoshe akamalizia kwa kuwa Rais wa nchi kwa miaka 10. Na kikatiba ana mshahara 80% ya mshahara wa rais aliye madarakani kwa maisha yake yote baada ya kustaafu. Pia tukiachana naye binafsi hivi yeye, Ridhiwani na Mama Salma wakiamua wachange hela baba awe na nyumba New York watashindwa?

Punguzeni hasira ili muweze kutumia akili zenu kwa usahihi. Hapa duniani hatuwezi kuwa sawa. Marehemu peke yao ndo wako sawa. Tulio hai ni kupeana vichapo tu hakuna namna.
You are appreciated [emoji137][emoji137]‍[emoji3601][emoji137] that is fact, tembo na swala wote wanahitaji vegetation feeding, Lakini kwa kiwango tofauti na wote wanaishi [emoji1241][emoji1241]shida yetu ni umasikini wetu ulioathiri uwezo wetu wa kufikiri!
 
You are appreciated [emoji137][emoji137]‍[emoji3601][emoji137] that is fact, tembo na swala wote wanahitaji vegetation feeding, Lakini kwa kiwango tofauti na wote wanaishi [emoji1241][emoji1241]shida yetu ni umasikini wetu ulioathiri uwezo wetu wa kufikiri!
Viongozi wako ni MATAPELI wewe, wamejificha kwenye koti la uzalendo huku wakiibia watanzania masikini
 
Back
Top Bottom