Waziri wa Afya Athibitisha Mmoja Kufariki na Majeruhi 30 Fainali ya Yanga kwa Mkapa

Waziri wa Afya Athibitisha Mmoja Kufariki na Majeruhi 30 Fainali ya Yanga kwa Mkapa

benzemah

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2014
Posts
1,533
Reaction score
3,187
Ameandika Waziri wa Afya Ummy Mwalimu kupitia ukurasa wake wa mtandao wa Twitter:

"Taarifa ya Awali: Kuhusu Majeruhi Mkapa Stadium DSM. Hadi sasa Hospitali ya Rufaa ya Mkoa Temeke imepokea Majeruhi 30 ambapo 1 amefariki (Mwanaume mwenye umri wa takribani miaka 40. Majeruhi wengi wanaendelea vizuri wana majereha madogomadogo, wanaendelea na vipimo. Aidha timu kutoka Ofisi ya Mganga Mkuu wa Mkoa wa DSM ipo uwanjani, inafuatilia kwa karibu kuangalia kama kuna majeruhi wengine."
Screenshot 2023-05-28 at 17.10.50.png
 
Kwa asili ya serikali ya ccm ukiambiwa kafa mmoja wewe zidisha mara kumi ndiyo itakuwa sahihi.
 
Back
Top Bottom